-
Ziara ya kwanza ya Mfalme wa Qatar nchini Misri baada ya kupita miaka tisa ya uhasama
Jun 26, 2022 04:25Baada ya kupita miaka tisa ya mivutano, Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amewasili katika mji mkuu wa Misri Cairo na kulakiwa na rais wa nchi hiyo Abdel Fatah el Sisi.
-
Sanaa yalalamikia vikwazo vya Riyadh dhidi ya mahujaji wa Yemen
Jun 26, 2022 03:14Afisa wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amepinga masharti na vikwazo ambavyo Saudi Arabia imewawekea mahujaji wa Yemen.
-
Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria
Jun 25, 2022 22:02Baadhi ya vyanzo vya habari vimeripoti kuwa Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha jitihada za pamoja za kuunda upya kikosi kinachojulikana kwa jina la Jaish Maghawir al-Thawra (Jeshi la Makomando wa Mapinduzi) katika kituo cha Al-Tanf kinachosimamiwa na Marekani kilichoko kwenye mpaka wa Jordan, Syrian na Iraq.
-
Haniya: Mapambano yataendelea mpaka Palestina iliyoanzia kwenye Mto hadi Baharini itakapokombolewa
Jun 25, 2022 21:52Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mapambano na muqawama ungali unaongeza nguvu zake hadi ufike wakati wa kukombolewa Palestina iliyoanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania.
-
Mfalme wa Jordan ataka kuundwa 'NATO ya Asia Magharibi'
Jun 25, 2022 21:51Mfalme wa Jordan amesema anaunga mkono wazo la kuundwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Asia Magharibi, utakaoshabihiana na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO).
-
Kijana Mpalestina auawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari katili wa Israel
Jun 25, 2022 03:45Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamemuua kijana wa Kipalestina wakati wakimkamata katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Safari ya Uturuki; Urafiki wa kimbinu kati ya Erdogan na Bin Salman
Jun 24, 2022 22:34Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman amefanya safari mjini Ankara na kukaribishwa rasmi na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.
-
Ismail Haniyeh: Jinai za utawala wa Kizayuni, hazitofautishi baina ya Waislamu na Wakristo
Jun 24, 2022 22:33Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hautofautishi kati ya Waislamu na Wakristo katika jinai zake dhidi ya Palestina.
-
HAMAS: Israel iache kuchimba mashimo kwenye ua wa Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 24, 2022 08:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka utawala haramu wa Israel uache mara moja kitendo chake cha kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea katika msikiti mtatatifu wa al-Aqsa.
-
Uturuki kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya usalama
Jun 24, 2022 03:17Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema, baada ya kuongeza kiwango cha uwakilishi wa kidiplomasia, nchi yake itaanzisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Kizayuni wa Israel.