-
Nchi za Kiarabu mbioni kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake Arab League
Jun 24, 2022 02:41Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema nchi kadhaa wanachama wa jumuiya hiyo zinafanya juhudi kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake.
-
Kiongozi wa HAMAS aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah Beirut
Jun 23, 2022 07:58Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen
Jun 23, 2022 03:41Muungano vamizi Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia umekiuka usitishaji vita mara 40 katika mkoa wa al Hudaidah.
-
Ripoti: Bin Salman kuwaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina
Jun 22, 2022 23:24Tovuti moja imefichua kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Wazayuni kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
-
Knesset yapiga kura ya kulivunja bunge hilo la utawala wa Kizayuni
Jun 22, 2022 23:13Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limepiga kura ya kujivunja, na hivyo kuandaa mazingira ya uwezekano wa kurejea madarakani kwa kinara wa chama cha Likud, Benjamin Netanyahu, huku baraza la mawaziri la muungano wa Waziri Mkuu, Naftali Bennett, likiporomoka.
-
Sanaa yaikejeli taarifa ya Bin Salman na Al Sisi, yasema haina maana
Jun 22, 2022 06:37Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imeikejeli taarifa iliyotolewa na viongozi wa Saudi Arabia na Misri kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni mpango wa Ghuba ya Uajemi kuhusu Yemen.
-
Malengo tofauti ya safari ya kieneo ya Bin Salman
Jun 22, 2022 05:15Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameanza safari yake ya kieneo kwa kufanya ziara huko Misri na kuzitembelea pia nchi mbili za Jordan na Uturuki.
-
Idadi ya askari wa Israel wanaojiua imeongezeka ghafla
Jun 22, 2022 03:26Duru za Kiebrania zimeripoti ongezeko la idadi ya askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel waliojiua katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2022.
-
Yamkini Saudia ikaongeza idadi ya Wairani wanaoenda Hija mwaka huu
Jun 21, 2022 22:06Waziri wa Hija na Umrah wa Ufalme wa Saudi Arabia amesema wizara hiyo inatafakari kuongeza idadi ya raia wa Iran watakaoenda Hija mwaka huu.
-
Hizbullah: Kuweko tayari muda wote Muqawama kumeizuia Israel kuivamia Lebanon
Jun 21, 2022 09:20Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuweko tayari muda wote muqawama ndiko kulikoufanya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ughairi kuanzisha uvamizi dhidi ya Lebanon.