-
Mwanasoka wa Ghana ni miongoni mwa waliofariki katika mitetemeko ya ardhi Uturuki
Feb 19, 2023 06:30Mwanasoka mashuhuri wa Ghana Christian Atsu ni miongoni mwa makumi ya maelfu ya watu waliofariki kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi nchini Uturuki.
-
POLITICO: Saudia kutumia mabilioni ili iwe mwenyeji wa Kombe la Dunia
Feb 12, 2023 02:36Saudi Arabia imeripotiwa kutoa pendekezo kwa siri la kuwa tayari kugharamia ujenzi wa miundombinu yote kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia inayotazamiwa kufanyika Ugiriki na Misri mwaka 2030.
-
Refa aweka historia kwa kutoa 'kadi nyeupe' katika mechi ya soka ya ligi ya Ureno
Jan 23, 2023 13:09Historia ya soka iliwekwa siku ya Jumamosi, wakati kadi nyeupe, ambayo inatumika kuthamini moyo wa kimichezo ilipoonyeshwa kwa mara ya kwanza katika mechi ya ligi nchini Ureno.
-
Iran na Zimbabwe zaazimia kupanua ushirikiano wa kimichezo
Jan 16, 2023 12:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimeazimia kupanua zaidi ushirikiano wao katikka nyanja mbalimbalii ukiwemo uga wa michezo.
-
Mjukuu wa Mandela atumia mashindano ya CHAN kutangaza kupigania ukombozi wa Palestina
Jan 16, 2023 05:55Mjukuu wa shujaa wa ukombozi, Nelson Mandela amesisitizia ulazima wa kupigania ukombozi wa Palestina na kupaza sauti za kuungwa mkono taifa hilo madhlumu.
-
Baada ya Kombe la Dunia, wito wa kukombolewa Palestina sasa wasikika katika michuano ya CHAN
Jan 14, 2023 13:02Duru ya saba ya mashindano ya soka ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa wachezaji wa ligi za ndani barani humo yalifungua pazia lake jana Ijumaa kwa mchuano baina ya wenyeji Algeria na Libya.
-
Wairani walalamikia ujumbe wa Twitter wa rais wa FIFA
Jan 08, 2023 05:34Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka Duniani (FIFA) amekosolewa vikali na watumizi wa mitandao ya kijamii wa Iran kwa kutumia neno bandia wakati wa kutaja Ghuba ya Uajemi.
-
Hatimaye Ronaldo ajiunga na timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia
Dec 31, 2022 05:39Mchezaji mahiri wa soka Cristiano Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba utakaodumu hadi 2025.
-
Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil
Dec 31, 2022 05:17Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana wanasiasa na wanasoka kote duniani kuomboleza kifo cha Pele.
-
CAF: Pele atakumbukwa daima barani Afrika
Dec 31, 2022 05:14Patrice Motsepe, Rais wa Shirikisho la Kandanda barani Afrika (CAF) amesema kuwa, nyota wa kandanda Pele, alikuwa na ''msukumo wa kipekee'' kwa bara la Afrika ambao utaishi milele kwenye mioyo ya wapenzi wa mpira wa miguu.