162
Ulimwengu wa Soka, Disemba 25
Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai u bukheri wa afya. Karibu katika kipindi chako hiki ambacho hutupia jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia....