Makala Mchanganyiko
  • Haki za wazazi wawili kwa mujibu wa hadithi za Bwana Mtume SAW + Sauti

    Haki za wazazi wawili kwa mujibu wa hadithi za Bwana Mtume SAW + Sauti

    Nov 06, 2018 06:10

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hivi sasa tumo katika maombolezo na huzuni kubwa ya kukumbuka kufariki dunia kipenzi chetu na ruwaza yetu njema, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa SAW ambaye hakuna kiumbe yeyote bora kuliko yeye na ambaye aliaga dunia katika siku ya mwisho ya mwezi wa Mfunguo Tano Safar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.

  • Siri ya kukubali Imam Ridha AS kuwa mrithi wa mtawala wa zama zake + Sauti

    Siri ya kukubali Imam Ridha AS kuwa mrithi wa mtawala wa zama zake + Sauti

    Nov 06, 2018 05:54

    Siku ya mwisho ya Mfunguo Tano Safar ndiyo siku aliyouawa shahidi Imam Ridha AS mmoja wa Maimamu watoharifu wa Waislamu wa Kishia.

  • Kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka alipofariki dunia Mtume (saw) + Kasida

    Kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka alipofariki dunia Mtume (saw) + Kasida

    Nov 04, 2018 23:13

    Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) aliaga dunia tarehe 28 Swafar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.

  • Tarehe 13 Aban, Siku ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa

    Tarehe 13 Aban, Siku ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa

    Nov 03, 2018 09:57

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)

    Oct 27, 2018 07:40

    Haram na makaburi matakatifu ya Mtume Muhammad (saw) na Maimamu maasumu wa nyumba yake tukufu (as) katika kipindi chote cha historia ya Uislamu ya zaidi ya miaka 1400, yamekuwa kimbilio la nyoyo zenye hamu kubwa za waumini na wafuasi wao.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (11)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (11)

    Oct 27, 2018 06:58

    Imam Hussein bin Ali (as) na wafuasi wake 72 waliuawa shahidi katika tukio la Ashuraa mwaka 61 Hijria na watu wa familia ya Mtume wakachukuliwa mateka na jeshi katili la Yazid bin Muawiya alasiri ya siku hiyo.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (10)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (10)

    Oct 23, 2018 08:36

    makala hii ya Maswali Kuhusu Tukio la Ashura leo itajibu swali kwamba, ni kwa nini hadithi zilizopokewa kutoka kwa Mtume Muhammad (saw) na Maimamu watoharifu katika kizazi chake zimesisitiza sana suala la kuzuru kaburi la Imam Hussein bin Ali (as)?

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti

    Oct 15, 2018 08:07

    Maombolezo ya Muharram katika kila jamii huambatana na tamaduni, mila na taratibu za jamii hiyo. Lakini jambo la msingi na muhimu hapa ni kwamba utamaduni na mila hizo za maombolezo hazipasi kwenda kinyume na mafundisho ya Kiislamu na wala hazipasi kuruhusiwa kuvunjia heshima dini wala kupotosha ujumbe wa Ashura.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (8) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (8) + Sauti

    Oct 15, 2018 08:00

    Katika siku za mwanzoni mwa mwezi Muharram Waislamu hususan wafuasi na wapenzi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) katika maeneo mbalimbali ya dunia huwa katika siku za majonzi na huzuni ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa mtukufu huyo, Imam Hussein bin Ali (as) ndugu, watoto na masahaba zake huko Karbala.