-
Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Umaskini
Oct 20, 2016 07:03Tarehe 17 Oktoba ambayo mwaka huu imesadifiana na siku ya Jumatatu, huadhimishwa kila mwaka kwa jina la Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Umaskini.
-
Udiplomasia wa Kihollywood au Hujuma ya Kisiasa?
Sep 28, 2016 05:48Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki. Ni matumaini yangu kuwa utaendelea kuwa nami hadi mwisho wa makala ya leo itakayozungumzia nafasi ya Hollywood katika siasa za nje za Marekani.
-
Amani na Usalama katika Mtazamo wa Uislamu
Sep 25, 2016 09:28Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia usalama na amani katika mtazamo wa Uislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani.
-
Maytham al-Tammar; Kigezo cha Subira na Kusimama Kidete (Kumbukumbu ya kuuawa kwake shahidi)
Sep 24, 2016 03:17Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi Maytham al-Tammar mmoja wa masahaba na wafuasi wa Mtume SAW na Imam bin Abi Talib AS ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na Imani thabiti, subira na msimamo usiotetereka katika njia ya haki.
-
Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS
Sep 21, 2016 16:12Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.
-
Ghadir, hakika ing'arayo katika kitovu cha historia
Sep 19, 2016 06:13Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu tutaendelea kuishukuru neema hii kwa kuikariri aya ya 43 ya Suratul A'araf isemayo:" Alhamdulillah! Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye aliye tuhidi kufikia haya. Wala hatukuwa wenye kuhidika wenyewe ingelikuwa Mwenyezi Mungu hakutuhidi.
-
Fikra za Imam Hadi AS katika kubainisha Tauhidi na Uimamu
Sep 16, 2016 14:38Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu cha makala ya wiki ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Hadi AS.
-
Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni
Sep 14, 2016 07:52Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki cha kila wiki ambapo leo tumekuandalieni makala hii kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni.
-
Utawala na uongozi katika fikra za kisiasa za Imam Baqir (as)
Sep 10, 2016 01:02Katika siku hizi ambapo mamilioni ya Waislamu wanaelekea katika ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya ibada ya Hija, jina la Mtume wetu Muhammad (saw) na Ahlu Baiti zake watoharifu linatajwa na kuhuishwa zaidi kuliko wakati wowote mwingine.
-
Imam Jawad, Imam wa Tisa kutoka kizazi cha Bwana Mtume SAW
Sep 01, 2016 13:38Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni leo hii kwa mnasaba wa kukumbuka siku alipouawa shahidi Imam Jawad AS. Tumeona ni vyema katika dakika hizi za kipindi hiki kuzungumzia fadhail na sifa bora za mtukufu huyo.