-
Majina na Lakabu za Bibi Faat'imatu-Zahraa (SalamuLlahi Alayhaa)
Jan 01, 2024 04:08Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran mpopote pale mlipo wakati huu. Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 09:31Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.
-
Kuzaliwa kwa Nabii Isa Masih (as)
Dec 24, 2023 11:14Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Masih Isa bin Maryam (AS) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
-
Vita vya Gaza na Kitendawili cha Siku Zijazo
Dec 21, 2023 07:40Hamjambo na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kitaangazia vita vya Gaza na kitendawili kinachogubika mustakbali wa mapambano ya uhuru ya Wapalestina katika siku zijazo.
-
Kumbukumbu ya kufa shahidi Fatima Zahra (as)
Dec 18, 2023 12:48Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu kinachokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Mtume Muhammad (s.a.w).
-
Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu
Dec 13, 2023 08:48Tarehe 10 Disemba imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu, siku ambayo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) lilipasisha tangazo la Kimataifa la Haki za Binadamu mwaka 1948. Kwa mnasaba huo tumewaandalia kipindi maalumu chini ya anwani: "Haki zisizo za binadamu, kwa mnasaba wa siku hiyo.
-
Utepe Mwekundu: Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi
Nov 30, 2023 12:25Tarehe Mosi Disemba imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi na kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku hii tumewaandalia kipindi hiki maalumu cha Utepe Mwekundu kwa mnasaba wa kuwadia tarehe Mosi Disemba ambayo kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi.
-
Mauaji ya Gaza na madai ya ubinadamu ya Wamagharibi
Nov 22, 2023 11:04Karibuni wasikilizaji na wafuatiliaji wa matangazo ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran katika Makala yetu ya Wiki hii ambayo itatupia jicho mauaji yanayofanyika Ukanda wa Gaza na madai ya Wamagharibi ya kutetea ubinadamu.
-
Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto Katika Nchi za Magharibi
Nov 22, 2023 10:40Jamii za Wamagharibi, khususan zile zilizoendelea na zinazodai kutetea ubinadamu za Ulaya, zina sura nyingine isiyoonekana waziwazi kwa watu wengi.
-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (as)
Nov 18, 2023 18:33Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s); mwanamke ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na kujipamba kwa sifa njema, fadhila, elimu, subira na ushujaa mkubwa aliokuwa nayo.