Makala Mchanganyiko
  • Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Nov 09, 2023 11:27

    Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.

  • Maangamizi ya kizazi Ukanda wa Ghaza na ubinadamu uliotoweka katika nchi za Magharibi

    Maangamizi ya kizazi Ukanda wa Ghaza na ubinadamu uliotoweka katika nchi za Magharibi

    Nov 02, 2023 09:10

    Ni wakati mwingine wa kuwa nanyi wapenda wasikilizaji katika Makala ya Wiki hii na leo tutazungumzia maangamizi ya kizazi katika eneo la Ukanda wa Ghaza na kuporomoka kwa ubinadamu katika nchi za Magharibi.

  • Uungaji Mkono wa Marekani kwa Israel; Sababu na Kwa Nini

    Uungaji Mkono wa Marekani kwa Israel; Sababu na Kwa Nini

    Oct 31, 2023 10:40

    Hamjambo wapendwa wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi chetu cha makala ya wiki, ambapo juma hili tutazungumzia uungaji mkono wa Marekani kwa Israel, sababu na kwa nini. Karibuni.

  • Kukumbuka siku ya kufariki dunia Bibi Maasuma SA

    Kukumbuka siku ya kufariki dunia Bibi Maasuma SA

    Oct 25, 2023 17:15

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Faatima al Maasuma 'Alayha Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu (SAW).

  • Ukweli Uliopinduliwa na Wamagharibi

    Ukweli Uliopinduliwa na Wamagharibi

    Oct 21, 2023 08:18

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki. Leo tunachunguza madai ya nchi za Magharibi eti ya kufanya hisani na kujali haki za binadamu, tukiangazia hali ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha sasa cha mashambulizi ya kikatili ya Israel yanayofadhiliwa na Marekani na washirika wake dhidi ya watu wa Ghaza.

  • Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 11, 2023 11:54

    Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.

  • Duru ya 5 ya Tuzo ya  Al -Mustafa

    Duru ya 5 ya Tuzo ya Al -Mustafa

    Oct 05, 2023 12:20

    Kuanzia tarehe 28 Septemba hadi 4 Oktoba, mji wa kihistoria na kiutamaduni wa Isfahan wa hapa Iran, ambao ni mojawapo ya vituo muhimu vya ustaarabu wa Kiislamu, ulikuwa mwenyeji wa duru ya tano ya Tuzo ya Al Mustafa (SAW), ambayo hafla yake imefanyika katika Kasri la Chehelsuton katika mji huo.

  • Mgogoro wa Afya ya Akili na Kujiua katika Jamii ya Marekani (Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani)

    Mgogoro wa Afya ya Akili na Kujiua katika Jamii ya Marekani (Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani)

    Sep 28, 2023 11:36

    Jumapili ya tarehe 10 Septemba ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua. Siku hiyo ilisajiliwa katika kalenda ya dunia mwaka wa 2003 na Chama cha Kimataifa cha Kuzuia Kujitoa Uhai kwa ushirikiano wa Shirika la Afya Duniani (WHO).

  • Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hassan Askary (as)

    Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hassan Askary (as)

    Sep 26, 2023 12:29

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kkwa mnasaba wa kukumbukak siku aliyouawa shahidi Imam Hassan Askary (as) mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume (saw).