-
Jumatano, 13 Novemba, 2024
Nov 12, 2024 22:46Leo ni Jumatano tarehe 11 Jamadil Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 13 Novemba 2024.
-
Sura ya Az-Zumar, aya ya 51-53 (Darsa ya 850)
May 22, 2023 08:32Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur’ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu.
-
Njia ya fikra ya Shahidi Qassem Soleimani: Mhimili wa Muqawama na Mapambano
Jan 03, 2023 05:47Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo, na karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo mwingine wa kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, ambapo katika mfululizo huu wa tatu tutatalii moja ya vipindi maalumu vya maisha ya kamanda huyo.
-
Ugaidi wa ISIS unavyohudumia maadui wa taifa la Iran
Nov 03, 2022 07:38Jumatano, tarehe 27 Oktoba, damu ya Waislamu waliokuwa wamekwenda kuzuru na kufanya ibada katika Haram tukufu ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ahmad Ibn Musa (as) huko Shiraz kusini mwa Iran, ilimwagwa katika eneo hilo tukufu ambapo gaidi asiye na moyo wa kibinadamu wa kundi la Daesh aliwamiminia risasi ovyo waumini waliokuwa wakitekelea Swala ya Magharibi na kuua 15 Miongoni mwao.
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 05:29Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 27 na sauti
Feb 18, 2018 12:56Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 27 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti
Nov 25, 2017 16:03Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-3
Sep 02, 2017 11:16Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.
-
Jumatatu tarehe 31 Julai, 2017
Jul 30, 2017 23:56Leo ni Jumatatu tarehe 7 Dhulqaada 1438 Hijria sawa na Julai 31, 2017.
-
Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 27 pamoja na sauti
Mar 09, 2017 10:47Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 27 ya makala yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (sawa) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.