• Hadithi ya Uongofu (63)

    Hadithi ya Uongofu (63)

    Jan 17, 2017 10:02

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika kipindi chetu cha juma lililopita tulikunukulieni baadhi ya hadithi zinazohusiana na kutawakali na kumtegemea Mwenyezi Mungu na tulisema kwamba, kutawakali ni aina fulani ya uhusiano wa mja mwenye imani na Mwenyezi Mungu Muumba wa ulimwengu na vilivyomo.

  • Hadithi ya Uongofu (62)

    Hadithi ya Uongofu (62)

    Jan 17, 2017 09:27

    Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji popote pale yanapokufikia matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Tunakutana tena juma hili katika sehemu nyingine ya mfululizo huu wa kipindi cha Hadithi ya Uongofu. Katika kipindi chetu kilichopita tulikunukulieni baadhi ya hadithi zinazohusiana na kutawakali na kumtegemea Mwenyezi Mungu na kusema kuwa, kutawakali ni aina fulani ya uhusiano wa mja na Muumba wake.

  • Hadithi ya Uongofu (61)

    Hadithi ya Uongofu (61)

    Dec 21, 2016 06:25

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika sehemu hii ya 61 ya mfululuzo huu juma hili, tunazungumzi tawakkul au kutawakali na kunukuu hadithi zinazohusiana na maudhui hii. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki.

  • Hadithi ya Uongofu (59)

    Hadithi ya Uongofu (59)

    Dec 06, 2016 09:31

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji. Tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Vipindi vyetu kadhaa vilivyotangulia tulimzungumzia shetani pamoja na njia za kukabiliana na kiumbe huyu aliyeapa kuwapotosha wanadamu.

  • Hadithi ya Uongofu (58)

    Hadithi ya Uongofu (58)

    Nov 08, 2016 12:08

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha hadithi ya Uongofu. Sehemu hii ya 58 ya mfululizo huu itakunukulieni majimui ya hadithi nyingine kuhusiana na shetani  pamoja na njia za kukabiliana na kiumbe huyu mlaaniwa. Karibuni.

  • Hadithi ya Uongofu (56)

    Hadithi ya Uongofu (56)

    Nov 02, 2016 06:22

    Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji tunapokutana tena katika kipindi kingine cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hujadili maudhui mbalimbali za kidini, kijamii, kimaadili na kadhalika na kukunukulieni hadithi zinazohusiana na maudhui hizo.  Kipindi chetu cha leo kitaendelea kujadili maudhui ya mghafala au kughafilika pamoja na athari zake au matokeo yake, maudhui ambayo tulianza kuijadili katika kipindi chetu kilichopita.

  • Hadithi ya Uongofu (55)

    Hadithi ya Uongofu (55)

    Nov 02, 2016 06:15

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Juma hili kipindi chetu hiki ambacho ni sehemu ya 55 ya mfululizo huu kitazungumzia mghafala au usahaulifu pamoja na dalili zake. Tafadhalini kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki. Karibuni.

  • Hadithi ya Uongofu (54)

    Hadithi ya Uongofu (54)

    Nov 02, 2016 06:09

    Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kuwa nanyi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma hili ambacho ni sehemu ya 54 ya mfululizo huu kitakunukulieni baadhi ya hadithi kuhusiana na nafsi na aina zake. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki.

  • Hadithi ya Uongofu (53)

    Hadithi ya Uongofu (53)

    Sep 09, 2016 13:37

    Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kuwa nanyi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.

  • Hadithi ya Uongofu (52)

    Hadithi ya Uongofu (52)

    Sep 09, 2016 13:34

    Ni wasaa na wakati mwingine na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha wiki hii ambacho ni sehemu ya 52 kitazungumzia Jihadi ya Nafsi au kupigana jihadi na nafsi. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi.