• Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (10)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (10)

    Oct 23, 2018 12:06

    makala hii ya Maswali Kuhusu Tukio la Ashura leo itajibu swali kwamba, ni kwa nini hadithi zilizopokewa kutoka kwa Mtume Muhammad (saw) na Maimamu watoharifu katika kizazi chake zimesisitiza sana suala la kuzuru kaburi la Imam Hussein bin Ali (as)?

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti

    Oct 15, 2018 11:37

    Maombolezo ya Muharram katika kila jamii huambatana na tamaduni, mila na taratibu za jamii hiyo. Lakini jambo la msingi na muhimu hapa ni kwamba utamaduni na mila hizo za maombolezo hazipasi kwenda kinyume na mafundisho ya Kiislamu na wala hazipasi kuruhusiwa kuvunjia heshima dini wala kupotosha ujumbe wa Ashura.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (8) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (8) + Sauti

    Oct 15, 2018 11:30

    Katika siku za mwanzoni mwa mwezi Muharram Waislamu hususan wafuasi na wapenzi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) katika maeneo mbalimbali ya dunia huwa katika siku za majonzi na huzuni ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa mtukufu huyo, Imam Hussein bin Ali (as) ndugu, watoto na masahaba zake huko Karbala.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (7) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (7) + Sauti

    Oct 15, 2018 10:28

    Miongoni mwa maswala yanayoulizwa kuhusu harakati ya Imam Hussein bin Ali (as) na tukio la Ashura ni kwamba, je, yote tunayoyasikia hii leo kuhusu tukio hilo la mauaji ya Imam Hussein na masabaha zake katika medani ya Karbala nchini Iraq mwaka 61 Hijria ni sahihi, au kuna uwezekano baadhi yamepotoshwa?

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (5) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (5) + Sauti

    Oct 09, 2018 11:20

    Miongoni mwa maswali yanayoulizwa kuhusu siku ya Ashuraa ni kwamba, je, Imam Hussein alikuwa na habari juu ya masaibu yatakayompata huko Karbala na kwamba atauawa shahidi katika mapambano hayo?

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (6) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (6) + Sauti

    Oct 07, 2018 11:51

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran, na karibuni kusikiliza sehemu ya sita ya kipindi hiki cha Maswai Kuhusu Tukio la Ashura.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)

    Sep 30, 2018 13:04

    Kusikia kisa cha machungu na mateso ambayo yaliwapata wanawake na watoto wa Nyumba ya Mtume Mtukufu (saw) baada ya kuuawa shahidi Bwana wa Mashahidi, al-Imam Hussein (as) huumiza moyo wa kila mcha-Mungu na mpigania uhuru na utu wa mwanadamu na huenda kikamfanya ajiulize maswali haya muhimu kwamba je, ni kwa nini Imam Hussein (as) aliamua kuchukua na kuandamana na familia yake katika safari ya Karbala?

  • Jumanne, 18 Septemba, 2018

    Jumanne, 18 Septemba, 2018

    Sep 18, 2018 03:55

    Leo ni Jumanne tarehe 8 Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 18, 2018.

  • Jumatatu,  17 Septemba, 2018

    Jumatatu, 17 Septemba, 2018

    Sep 17, 2018 02:24

    Leo ni Jumatatu tarehhe 7 Muharram 1440 Hijria sawa na 17 Septemba 2018.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (3)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (3)

    Sep 16, 2018 10:28

    Miongoni mwa maswali yanayoulizwa kuhusiana na harakati ya mapambano Imam Hussein (as) ni kwamba, kwa nini Imam Hassan al Mujtaba (as) alifanya suluhu na Muawiya bin Abi Sufiyan lakini Imam Hussein (as) hakufanya suluhu na Yazid bin Muawiya?