Apr 26, 2017 07:18
Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 161 ya mfululizo wa vipindi hivi vya itikadi ya Kiislamu ambapo leo tutakamilisha swali lililoulizwa na msikilizaji wetu Bwana Faisal Badr wa Lamu Kenya ambaye alitaka kujua maana ya neno ‘imam’ katika aya ya Quráni inayosema: ‘’Siku tutakapowaita kila kikundi cha watu kwa Imam wao.’’