• Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (125)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (125)

    Jun 07, 2016 10:16

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 125 katika mfululizo wa vipindi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo kama kawaida hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (124)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (124)

    Jun 07, 2016 10:13

    Assalaamu Alykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi cha juma hili cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Kipindi chetu cha leo kitaendelea kuzungumzia riwaya ambayo tuliijadili katika kipindi kilichopita na kutazama moja ya sababu za udharura wa kuwepo Imam maasumu ambaye amechaguliwa na Mwenyezi Mungu Azza wa Jalla kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu kwenye njia nyoofu na ya saada katika zama zote.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (123)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (123)

    May 23, 2016 09:58

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia aya za 59 na 83 za Surat an-Nisaa katika kujibu swali lililohusiana na udharura wa kuwepo Imam maasumu anayewaongoza Waislamu katika zama zote hadi Siku ya Kiama na hiyo ni baada ya kuaga dunia Mtume Mtukufu (saw).

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (122)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (122)

    May 04, 2016 10:40

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Ni wakati mwingine wa kujiunga nanyi wasikilizaji wapenzi ili tupate kusikiliza kwa pamoja sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi ambavyo kama mnavyojua hujadili na kujibu maswali mbalimbali yanayohusiana na itikadi ya Kiislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (123)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (123)

    May 04, 2016 10:37

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.

  • Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain 121

    Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain 121

    Apr 17, 2016 12:46

    Assalam Aleikum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 121 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalaini, ambapo kama mnavyojua kupitia vipindi kadhaa tumekuwa tukijadili sifa anazopaza kuwa nazo Imam wa haki anayewaongoza waja wa Mwenyezi Mungu kuelekea saada na mafanikio ya milele.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 120

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 120

    Apr 17, 2016 12:40

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 120 katika mfululizo huu wa vipindi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahiuli Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Katika vipindi kadhaa vilivyopita tumekuwa tukijadili suala la msharti na sifa anazopasa kuwa nazo Imam mwongozaji ambaye maarifa na kumjua kwake huongoa na kumnusuru mwanadamu kutokana na kifo cha ujahili.

  • Maswali Yetu Majibu ya Thaqalain 119

    Maswali Yetu Majibu ya Thaqalain 119

    Apr 15, 2016 12:38

    Assalaam Aleikum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 119 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo kama mnavyojua huwa vinajadili na kuchambua maswali mbalimbali yanayohusiana na imani na itikadi ya Kiislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 118

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 118

    Apr 14, 2016 12:36

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran. Hiki ni kipindi cha 118 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo ni vipindi vinavyochambua na kujibu maswali mbalimbali yanayohusiana na itikadi ya dini tukufu ya Kiislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 117

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 117

    Apr 13, 2016 12:33

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi cha juma hili cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kunachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutagazieni kutoka mjini Tehran.