Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Alfajiri Kumi

  • Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya

    Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"

    Feb 11, 2022 10:39

    Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.

  • "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni jinamizi la mabeberu na kimbilio la wanyonge"

    Feb 11, 2022 10:39

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yameleta matumaini kwa wanyonge na wapigania ukombozi wa mataifa yao kama ambavyo yametia nguvu masuala ya kiroho na kimaanawi ulimwenguni.

  • Rais: Taifa la Iran limesimama kidete katika misingi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Rais: Taifa la Iran limesimama kidete katika misingi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 10, 2022 12:08

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao na mabalozi wa nchi za nje hapa mjini Tehran kwa mnasaba wa kukumbuka ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran limesimama imara katika misingi ya itikadi za mapinduzi yake."

  • Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni

    Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni

    Feb 07, 2022 12:51

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)

    Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)

    Jan 31, 2022 10:42

    Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.

  • Kiongozi Muadhamu azuru Haram ya Imam Khomeini MA na maziara ya Mashahidi

    Kiongozi Muadhamu azuru Haram ya Imam Khomeini MA na maziara ya Mashahidi

    Jan 31, 2022 08:04

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mapema leo asubuhi amefanya ziara katika Haram toharifu ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na maziara ya Mashahidi katika Makaburi ya Behesht Zahra SA kusini mwa Tehran.

  • Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kuondolewa ujahili mamboleo

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kuondolewa ujahili mamboleo

    Jan 30, 2022 09:04

    Neno 'ujahili' au ujinga ambalo limetumika katika Qur'ani na Hadithi na hata katika vitabu na nyaraka nyingi za kihistoria lina maana nyingi.

  • Jumamosi, 17 Julai, 2021

    Jumamosi, 17 Julai, 2021

    Jul 17, 2021 02:38

    Leo ni Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1442 Hijria mwafaka na tarehe 17 Julai 2021 Miladia.

  • Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu  ya Iran yadumu

    Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu

    Feb 07, 2021 10:28

    Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.

  • Leo ni Jumapili tarehe 7 Februari mwaka 2021

    Leo ni Jumapili tarehe 7 Februari mwaka 2021

    Feb 07, 2021 08:34

    Leo ni Jumapili tarehe 24 Jamadithani 1442 Hijria sawa na Februari 7 mwaka 2021.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Shamkhani azionya nchi za Ghuba ya Uajemi kutocheza na “mistari myekundu” ya Iran

    Shamkhani azionya nchi za Ghuba ya Uajemi kutocheza na “mistari myekundu” ya Iran

    2 hours ago
  • Amnesty yataka uchunguzi wa uhalifu wa kivita wa RSF nchini Sudan.

  • Microsoft yalaumiwa kuhusika na jinai za Israel za maauaji kimbari dhidi ya Gaza

  • Waziri Mkuu wa Somalia akosoa kauli za dharau za Trump kuhusu Somalia na wahamiaji wa Kisomali

  • Televisheni ya Kiebrania ya Iran yazua wasiwasi katika vyombo vya habari vya Israel

Chaguo La Mhariri
  • Vita vya Kijasusi; Kadi ya Ushindi ya Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni

    Vita vya Kijasusi; Kadi ya Ushindi ya Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni

    2 hours ago
  • Iran: Mhimili wa muungano na uongozi katika ushirikiano wa kupambana na ugaidi katika jumuiya ya SCO

    Iran: Mhimili wa muungano na uongozi katika ushirikiano wa kupambana na ugaidi katika jumuiya ya SCO

    10 hours ago
  • Je, kujitawala kiuchumi Niger kutakuwa pigo la mwisho kwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?

    Je, kujitawala kiuchumi Niger kutakuwa pigo la mwisho kwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?

    1 day ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Soko la ujenzi na nyumba Israel limeporomoka baada ya Vita vya Siku 12 na Iran

  • Mbunge Ilhan Omar amjibu Trump kwa kumwita yeye na wahamiaji Wasomali "takataka"

  • Putin: Tuko tayari kupigana na Ulaya kama itataka vita

  • Utajiri wa madini ya Yemen na jicho la tamaa la madola ya kibeberu

  • Kiongozi Mkuu: Jamhuri ya Kiislamu imebatilisha mantiki potofu ya Magharibi kuhusu mwanamke

  • Russia: Hakuna mazungumzo ya kusitisha mapigano mkesha wa Mwaka Mpya

  • Maduro aapa Venezuela haitakubali "amani ya utumwa" ya Marekani

  • China yapinga uingiliaji wa Marekani katika masuala ya Venezuela

  • Libya: Tutawatendea wakimbizi wa Sudan kama Walibya, watapatiwa huduma za skuli na hospitali

  • Je, kujitawala kiuchumi Niger kutakuwa pigo la mwisho kwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?

  • Mapigano yashadidi DRC, kila upande unamtuhumu mwenzake

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS