-
Kufa shahidi Hadhrat Ruqayyah binti Hussein (as)
Oct 15, 2019 11:04Tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria ilitokea hamasa na mapambano makubwa yatakayobakia hai katika historia ya mwanadamu.
-
Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video
Oct 14, 2019 14:20Arubaini ya Imam Hussein (as) imekuwa ni ya kimataifa na itaendelea kupanuka zaidi katika upeo huo. Hii ni damu ya Hussein bin Ali (as) ambayo licha ya kupita miaka 1400, ingali inachemka na kuendelea kuwa mpya na hai zaidi siku baada ya nyingine. Huu ndio ujumbe ule ule wa Siku ya Ashura uliopazwa kupitia koo za Aba Abdillah al-Hussein (as) na Bibi Zainab (sa) katika kipindi kigumu zaidi cha upweke wao. Pamoja na hayo, hii leo ujumbe huo umeenea na kufika katika kila pembe ya dunia.
-
Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti
Oct 10, 2019 15:36Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania
-
Waziri Mkuu wa Pakistan: Njia ya mashahidi wa Karbala, lazima iendelezwe
Sep 11, 2019 12:08Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan sambamba na kuashiria kumalizika kwa marasimu ya kidini ya kumi la kwanza la mwezi wa Muharram nchini Pakistan, amesema kuwa raia wa nchi hiyo hususan Waislamu wa jimbo la Kashmir, ni lazima waendeleze ujumbe wa mashahidi wa Karbala.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala
Sep 11, 2019 07:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi kwa serikali ya Iraq na familia za Mashahidi kufuatia tukio la kufa shahidi makumi ya watu katika mji mtakatifu wa Karbala.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Sajjad AS + Sauti
Sep 11, 2019 07:16Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika dakika hizi ambazo ndani yake tutazungumzia kuuawa shahidi Imam Ali bnil Husain Zaynul Abidin AS. Karibuni. ******
-
Waislamu milioni tatu wazuru Haram ya Imam Hussein Karbala, wakumbuka mauaji yake
Sep 11, 2019 03:26Zaidi ya Waislamu milioni tatu jana tarehe 10 Muharram ambayo ni maarufu kama siku ya Ashura, walishiriki katika maombolezo ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia
Sep 10, 2019 12:41Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu waliofurika kwa ajili ya maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Husain AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.
-
Maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS yaadhimishwa kote duniani
Sep 10, 2019 03:37Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia hii leo wanaadhimisha siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Jumanne, tarehe 10 Septemba, 2019
Sep 10, 2019 02:35Leo ni Jumanne tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 10 Septemba mwaka 2019.