-
'Siku ya Hussein (as)' yaadhimishwa mjini New York, bendera ya Hussein (as) yapepea
Sep 09, 2019 08:18Waislamu wa mji wa New York nchini Marekani kutoka mataifa mbalimbali yakiwemo ya Iran, India, Pakistan na ya Kiafrika wamefanya maombolezo ya kukumbuka kifo cha Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw), katika mtaa wa Manhattan.
-
Jumatatu, 09 Septemba, 2019
Sep 09, 2019 00:27Leo ni Jumatatu tarehe 9 Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 9 mwaka 2019.
-
Marasimu ya Kimataifa ya "Watoto Wanaonyonya wa Hussein" yafanyika katika nchi zaidi ya 40
Sep 06, 2019 08:13Marasimu ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein a.s" yamefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
-
Ijumaa, tarehe 6, Septemba 2019
Sep 06, 2019 02:26Leo ni Ijumaa tarehe 6 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 6 mwaka 2019.
-
Mguso wa nyoyo katika maombolezo ya Husain AS
Sep 02, 2019 09:51Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Muharram. Makala yetu imebeba kichwa cha maneno kisemacho, Mguso wa Nyoyo katika Maombolezo ya Imam Husain AS. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.
-
Jumatatu tarehe Pili Septemba 2019
Sep 02, 2019 04:05Leo ni Jumatatu tarehe Pili, Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba Pili mwaka 2019.
-
Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Husain AS)
Apr 09, 2019 09:55Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia hiyo ambayo Mtume Muhammad SAW alikuwa siku zote akiwaita watu wa familia hiyo kuwa ni Ahlul Bayt wake na daima akiwaombea dua za kheri na amani. Katika Qur'ani Tukufu pia kuna aya inayotaja ubora, utukufu na usafi wa watu wa nyumba hiyo.
-
Jumanne, 9 Aprili, 2019
Apr 09, 2019 04:26Leo ni Jumanne tarehe Tatu Sha'aban 1440 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 9 Aprili 2019 Miladia.
-
Jumamosi, 02, Machi, 2019
Mar 02, 2019 02:50Leo ni Jumamosi tarehe 24 Mfunguo Tisa Jamadithani 1440 Hijria sawa na tarehe Pili Machi 2019 Miladia.
-
Wafanyaziara milioni 15 wamefika Karbala kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 30, 2018 07:26Baraza la Mkoa wa Karbala nchini Iraq limetangza kuwa limesajili wafanyaziara milioni 15 walioingia nchini humo kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein (as) huku idadi ya mazuwari hao ikiwa inaendelea kuongezeka.