-
Jumatano, tarehe 28 Septemba, 2022
Sep 28, 2022 02:18Leo ni Jumatano tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na Septemba 28 mwaka 2022.
-
HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 11, 2022 04:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Aug 21, 2022 11:13Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa.
-
Iran: Misikiti yote itaendelea kuwa vituo vya muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa
Aug 21, 2022 06:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran amesema kuwa, Misikiti yote duniani itaendelea kuwa vituo vya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni hadi zitakapokombolewa ardhi zote za Palestina.
-
Jumanne, Juni 7, 2022
Jun 07, 2022 02:34Leo ni Jumanne, mwezi 7 Mfunguo Pili Dhulqaad 1443 Hijria, sawa na tarehe 7 Juni 2022 Milaadia.
-
Ismail Hania asisitiza kuuhami Msikiti wa al-Aqswa kwa kutumia nyenzo zote
Jun 06, 2022 10:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza udharura wa kutumiwa suhula na nyenzo zote kwa ajili ya kuulinda na kuuhamai Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Wapalestina watolewa mwito wa kumiminika Msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama ya wazayuni
Jun 04, 2022 12:05Makundi mbalimbali ya Kipalestina yamewatolea mwito Wapalestina kukusanyika mnamo siku zijazo katika msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama nyingine ya walowezi wa kizayuni.
-
Wazayuni wakivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu, jamii ya kimataifa kimya!
Jun 03, 2022 10:42Licha ya kwamba taasisi mbalimbali za kimataifa zimetoa tangazo rasmi la kusisitiza kuwa Wazayuni hawahusiki kivyovyote vile na maeneo matakatifu ya Wapalestina ukiwemo Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, lakini kila leo Wazayuni hao wanauvamia Msikiti huo na jamii ya kimataifa imekaa kimya ikiangalia kwa macho tu.
-
Khatibu wa Msikiti nwa al-Aqswa: "Maandamano ya Bendera" katu hayataingia Masjidul-Aqswa
May 29, 2022 03:25Khatibu wa Masjidul-Aqswa amesema kuwa, uamuzi wa Wazayuni wa kufanya "Maandamano ya Bendera" ni hatua ya kichochezi na amesisitiza juu ya udharura wa kuchukuliwa hatua ya kuwazuia Wazayuni hao kuingia katika msikiti matakatifu wa al-Aqswa.
-
Walowezi wa Kizayuni waendelea kuuhujumu Msikiti wa Al Aqswa
May 23, 2022 09:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.