-
Jumatatu, Oktoba 6, 2025
Oct 06, 2025 02:20Leo ni Jumatatu tarehe 14 Mehr, 1404 Hijria Shamsia, sawa na tarehe 13 Rabiuthani, 1447 Hijria Qamaria, na inayosadifiana na Oktoba 6, 2025 Miladia.
-
Jumatano, Septemba 10, 2025
Sep 10, 2025 02:25Leo ni Jumatano, mwezi 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria, sawa na tarehe 10 Septemba, 2025.
-
Ijumaa, Septemba 5, 2025
Sep 05, 2025 02:17Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 5 mwaka 2025.
-
Jumanne, tarehe 8 Aprili, 2025
Apr 08, 2025 02:20Leo ni Jumanne tarehe 9 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 8 mwaka 2025.
-
Jumatano, tarehe 05 Februari, 2025
Feb 05, 2025 05:44Leo ni Jumatano tarehe 06 Shaabani 1446 Hijria, sawa na Februari 5 mwaka 2025.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Sep 26, 2024 12:01Kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kimetangazwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Wiki ya Umoja na Mshikamano baina ya Waislamu wote duniani, lengo likiwa ni kuwakusanya pamoja Waislamu wote wa madhehebu na mitazamo tofauti katika Tauhidi na umoja wa Kiislamu.
-
Jumamosi, 21 Septemba, 2024
Sep 21, 2024 04:29Leo ni Jumamosi 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria mwafaka na 21 Septemba 2024 Miladia.
-
Jumatatu tarehe 6 Mei, 2024
May 06, 2024 02:31Leo ni Jumatatu tarehe 27 Mfunguo Mosi Shawwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Mei 2024.
-
Jumapili, 24 Machi, 2024
Mar 24, 2024 02:26Leo ni Jumapili 13 Ramadhani 1445 Hijria mwafaka na 24 Machi 2024.
-
Majina na Lakabu za Bibi Faat'imatu-Zahraa (SalamuLlahi Alayhaa)
Jan 01, 2024 04:08Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran mpopote pale mlipo wakati huu. Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.