-
Akhamisi tarehe Pili Januari 2025
Jan 02, 2025 02:38Alkhamisi tarehe Mosi Rajab 1446 Hijria sawa na tarehe Pili Januari 2025.
-
Kiongozi Muadhamu amuenzi Shahidi Soleimani, asema daima alifikiria kuhuisha Muqawama
Jan 01, 2025 13:21Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesifu na kukutaja kuwa ni kwa kipekee kujitolea kwa kamanda mkuu wa Iran wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, ambaye aliuawa mwaka 2020 akiwa pamoja na wanajihadi wenzake katika shambulio la kigaidi la ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.
-
Trump amsifu shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Oct 15, 2024 12:12Rais wa zamani wa Marekani na mgombeaji wa uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo amesema kuwa, Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyeuawa shahidi, kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha IRGC, alikuwa jenerali mkubwa sana wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wananchi wa Nigeria na Ghana wamuenzi Luteni Jenerali Qassim Suleimani + Video na Picha
Jan 08, 2024 03:48Kumbukumbu za kutimia mwaka wa nne tangu kuuliwa shahidi Luteni jenerali Shahidi Qassim Suleiman zimefanyika katika miji mikuu ya Nigeria na Ghana yaani huko Abuja na Accra kwa kuhudhuriwa na Waislamau wa matabaka mbalimbali na wafuasi wa kamanda huyo.
-
Jumatano, Januari 3, 2024
Jan 03, 2024 02:45Leo ni Jumatano 20 Mfunguo Tisa Jumadithani 1445 Hijria sawa na Januari 3 mwaka 2024.
-
Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 02, 2024 16:45Hamjambo na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda wa Kiislamu, Haj Qassem Soleimani, fahari na kinara wa Iran katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS). Kamanda huyu shujaa aliuawa shahidi katika shambulio la kikatili na kigaidi la ndege za kivita za Marekani huko Iraq.
-
Gharib Abadi: Haki itatekelezwa katika kuwashughulikia wahusika wa mauaji ya Shahidi Soleimani.
Jul 17, 2023 04:33Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu ya Iran amesisitiza kuwa uadilfu utatendeka katika kuwashughulikia wahusika wa mauaji ya Shahidi kamanda Soleimani.
-
Kana'ani: Mkakati wa Iraq kuzipatanisha Iran, Saudia mzizi wake ni Soleimani
Mar 16, 2023 10:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mapatano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kueleza kuwa, msingi wa jitihada za Iraq za kuzipatanisha Tehran na Riyadh unatokana na mitazamo ya kistratajia ya Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake
Feb 14, 2023 02:26Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.
-
Jenerali Salami: Hakuna shaka tutalipiza kisasi cha mauaji ya Shahidi Soleimani
Jan 09, 2023 04:10Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu alivunja na kusambaratisha njama za maadui wa taifa hili, na kwamba wahusika wa mauaji yake wanapaswa kufahamu kuwa lazima Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua kujibu kitendo cha kigaidi cha kumuua shahidi kamanda huyo.