-
FAO yatahadharisha kuhusu njaa Afrika Mashariki
Jul 16, 2017 02:15Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO limetahadahrisha kuwa ukosefu wa mvua Afrika Mashariki umeongeza njaa katika eneo hilo.
-
Mtazamo wa G20 kwa bara la Afrika
Jul 07, 2017 12:40Mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa G20 umeanza huko Hamburg nchini Ujerumani na miongoni mwa ajenda zake kuu ni mjadala juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, mustakbali wa makubaliano ya kibiashara na matatizo na masuala ya bara la Afrika.
-
Mawaziri wa Ulaya na Afrika wakutana Roma kujadili mgogoro wa wahajiri
Jul 06, 2017 09:30Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje na wa Masuala ya Wahajiri wa nchi za Ulaya na Afrika kimefanyika Roma mji mkuu wa Italia kujadili njia ya kupambamba na mgogoro wa sasa wa wahajiri katika bahari ya Mediterania.
-
UNICEF: Zaidi ya nusu ya wakimbizi barani Afrika ni watoto wadogo
Jul 05, 2017 03:44Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema kuwa, zaidi yawatoto milioni saba wa maeneo ya magharibi na katikati mwa Afrika wanaishi katika mazingira magumu kutokana na matatizo mbalimbali kama vile ukatili, umaskini na kuharibika hali ya hewa na kwamba idadi hiyo inaunda zaidi ya nusu ya wakimbizi barani Afrika.
-
Algeria: Waafrika elfu tano wamejiunga na makundi ya kigaidi
Jul 04, 2017 08:13Rais wa Algeria ametahadharisha kuhusu hatari ya vijana elfu tano wa Afrika waliojiunga na mkundi ya kigaidi.
-
AU yataka kupewa nafasi zaidi katika Baraza la Usalama
Jul 03, 2017 08:32Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amezitaka nchi za bara hilo kuungana kwa ajili ya kuinua juu nafasi na hadhi ya Afrika na kuimarisha uwakilishi wake katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Maelfu ya wapiganaji wa Kiafrika wapo Libya
Jun 28, 2017 23:42Taasisi ya Kuchunguza Silaha Nyepesi yenye makao yake mjini Geneva Uswisi imesisitiza kuwa maelfu ya wapiganaji wa Kiafrika wanapigana bega kwa bega na makundi mbalimbali yenye silaha nchini Libya.
-
WFP yaomba msaada kuokoa maisha ya maelfu ya watoto Afrika, Yemen
Jun 27, 2017 02:57Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani WFP limetoa wito wa msaada wa Umoja wa Ulaya ili kuokoa maisha ya mamia ya maelfu ya watoto wa Afrika na Yemen wanaokabliwa na baa la njaa.
-
Chad: Ikiwa hatutapewa msaada wa fedha, tutajiondoa operesheni za kijeshi Afrika
Jun 25, 2017 23:23Rais Idriss Déby wa Chad amesema kuwa, ikiwa nchi hiyo itaendelea kunyimwa pesa za msaada kwa ajili ya kutatua matatizo yake ya kiuchumi na kijamii, basi nayo itajiondoa kushiriki operesheni za kijeshi katika mataifa ya Afrika.
-
Iran kuendelea kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika
Jun 21, 2017 03:00Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuwa, ni katika sera zilizo madhubuti za nchi hii kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.