-
Maafisa sita wa polisi Kenya wauawa katika hujuma ya kigaidi
Jul 14, 2016 03:22Maafisa wasiopungua sita wa polisi wanaripotiwa kuuawa nchini Kenya baada ya gaidi kushambulia kituo cha polisi katika eneo la Kapenguria katika kaunti ya Pokot Magharibi inayopakana na Uganda.
-
Al-shabaab washambulia kambi ya jeshi na kuua askari 10
Jul 11, 2016 03:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeshambulia kwa bomu kambi moja ya jeshi kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuua wanajeshi 10 wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Sita wauawa baada ya mabasi kufyatuliwa risasi Mandera Kenya
Jul 01, 2016 10:50Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya watu wenye silaha kuyamiminia risasi mabasi mawili hii leo katika kaunti ya Mandera nchini Kenya kwenye mpaka wa nchi hiyo na Somalia.
-
Jeshi la Kenya laua wanachama 4 wa al-Shabaab, Lamu
Jun 29, 2016 23:04Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.
-
AMISOM yaangamiza wanachama 110 wa al-Shabaab Somalia
Jun 09, 2016 09:40Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimesema askari wake wamefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab walipojaribu kushambulia moja ya kambi zao.
-
'Al-Shabaab' yaua mwanahabari wa kike mjini Mogadishu
Jun 06, 2016 03:02Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wamemuua kwa kumfyatulia risasi mwandishi wa habari wa kike katika mji mkuu Mogadishu.
-
Mkuu wa intelijenisia wa kundi la al Shabaab auawa Somalia
Jun 01, 2016 11:29Vikosi vya usalama vya Somalia vimemuuwa mkuu wa kitengo cha intelijinsia cha kundi la wanamgambo wa al Shabaab. Hayo yamesemwa leo na afisa wa serikali ya Somalia.
-
Wakenya wengine watatu wauliwa na ash Shabab
May 30, 2016 00:05Mkuu wa Jeshi la Polisi la eneo la Pwani nchini Kenya ametangaza habari ya kuuawa raia kadhaa wa nchi hiyo, jana asubuhi.
-
Jeshi la Kenya laangamiza al-Shabaab 21 nchini Somalia
May 25, 2016 10:03Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF limetangaza habari ya kuangamizwa wanachama 21 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Hawina nchini Somalia.
-
Francis Wanjohi: Ash Shabab yafanya njama za kuzidi kuwadanganya vijana wa Kenya
May 21, 2016 11:28Kamanda wa eneo la Pwani nchini Kenya amesema kuwa, kundi la ash Shabab la Somalia linaendelea na njama zake za kuwadanganya vijana wa Kenya ili wajiunga na kundi hilo.