-
Kongo yaanza matibabu ya majaribio kwa homa ya Ebola
Aug 15, 2018 09:30Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeanza kutumia dawa ya majaribio aina ya mAb114 kutibu mlipuko wa karibuni wa homa hiyo inayosababishwa na virusi.
-
WHO: Nchi jirani ya DRC zichukue hatua kuzuia kuenea Ebola
Aug 05, 2018 20:51Shirika la Afya Duniani WHO limesema, hali mpya ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC inazilazimisha nchi za jirani kuchukua hatua za tahadhari ili kuzuia ungojwa huo hatari kuenea.
-
Watu 33 wafariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Aug 05, 2018 03:41Watu wasiopungua 33 wanaripotiwa kufariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, siku chache baada ya maambukizi ya ugonjwa huo hatari kuripotiwa tena nchini humo.
-
WHO yatangaza azma ya kukabiliana na Ebola DRC
Aug 04, 2018 03:42Shirika la Afya Duniani WHO, limesema litafanya kila liwezalo kudhibiti kuenea kwa mlipuko wa Ebola ambao umethibitishwa huko jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
-
Virusi vipya vya Ebola vyagunduliwa Sierra Leone
Jul 27, 2018 03:17Serikali ya Sierra Leone imetangaza habari ya kungunduliwa virusi vipya ya ugonjwa hatari wa Ebola, miaka miwili baada ya maradhi hayo kusemekana kuwa yamemalizika kabisa nchini humo.
-
WHO: Tishio la ugonjwa wa Ebola limepungua DRC
Jul 08, 2018 00:06Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa limepunguza kiwango cha tishio la kutokea kwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kutoka kiwango cha juu hadi kiwango cha wastani katika ngazi ya kitaifa na kimataifa.
-
Wanasiasa Uganda watakiwa kuchunga matamshi yao kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola + Sauti
May 31, 2018 13:10Wanasiasa nchini Uganda wameonywa kuhusu kutoa matamshi yanayoweza kuzusha hofu na wasiwasi mkubwa nchini Uganda na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
Uganda yakanusha taarifa kuhusu mlipuko wa Ebola nchini humo
May 28, 2018 03:11Serikali ya Uganda imekanusha taarifa zilizoenea za kuibuka nchini humo ugonjwa hatari wa Ebola ambao umeua makumi ya watu katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokarasia ya Kongo.
-
Chanjo ya Ebola yaanza kutolewa vijijini Kongo DR
May 27, 2018 23:21Wizara ya Afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Jumatatu inaaza kupeana chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola katika vijiji viwili vilivyoathiriwa na mlipuko wa sasa wa maradhi hayo.
-
Wagonjwa watatu wa Ebola watoroka karantini nchini Kongo + Sauti
May 23, 2018 10:05Wagonjwa watatu walioambukizwa ugonjwa hatari wa Ebola wametoroka eneo la karantini walimokuwa katika hospitali moja huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mji wa Mbandaka huku madakatari wakiwa mbioni kuzuia ugonjwa huo hatari kuenea.