-
Genge la waasi nchini Ethiopia lasimamisha operesheni zake
Jun 22, 2018 23:39Kundi la waasi la Patriotic Ginbot7 (PG7) la Ethiopia limetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusimamisha kwa muda usiojulikana operesheni zake zote za utumiaji silaha katika maeneo yote ya nchi.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia kutembelea eneo lenye misukosuko la kusini
Jun 17, 2018 02:46Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed anatarajiwa kutembelea mji wa Hawassa ambao umekuwa na vurugu zilizotokana na tofauti zilizojitokeza baina ya makabila mawili maarufu ya jimbo la kusini mwa Ethiopia.
-
Watu 10 wafariki dunia katika mapigano ya kikabila kusini mwa Ethiopia
Jun 16, 2018 11:27Mkuu wa Ofisi ya Mawasiliano wa Jimbo la 'Eneo la Mataifa ya Kusini' kusini mwa Ethiopia ametangaza habari ya kuuawa watu 10 na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila.
-
Ethiopia kuwasamehe mamia ya watu waliohukumiwa kwa makosa ya ugaidi
Jun 15, 2018 23:34Serikali ya Ethiopia imesema kuwa itawafutia mashtaka zaidi ya wafungwa 304 wakiwemo 289 wanaotumikia vifungo vya makosa ya ugaidi.
-
Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini
Jun 14, 2018 03:31Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amekubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, wiki ijayo nchini Ethiopia.
-
Vinara wawili wa waasi Ethiopia warudi nyumbani baada ya mazungumzo na serikali
Jun 12, 2018 22:11Viongozi wawili wa kundi la waasi wa Ethiopia wamerudi nyumbani baada ya kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed Ali..
-
Ethiopia yakanusha madai ya kuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu
Jun 12, 2018 09:28Serikali ya Ethiopia imekadhibisha vikali madai kuwa inapanga kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds, kutoka Tel Aviv.
-
Shambulizi la guruneti lajeruhi 9 katika Chuo Kikuu Ethiopia
Jun 11, 2018 02:40Watu tisa wamejeuhiwa katika shambulizi la guruneti dhidi ya Chuo Kikuu kimoja kusini mwa Ethiopia.
-
Ethiopia yaafiki kutekeleza makubaliano ya suluhu na Eritrea
Jun 06, 2018 22:49Serikali ya Ethiopia imeafiki kutekeleza makubaliano ya suluhu yaliyofikiwa baina yake na Eritrea kwa lengo la kuhitimisha vita na mapigano ya mpakani kati ya nchi mbili.
-
Ethiopia yakubali makubaliano ya amani na hasimu wa muda mrefu, Eritrea
Jun 06, 2018 02:48Ethiopia imetangaza kuwa itakubali masharti ya makubaliano ya amani na Eritrea ya mwaka 2000, katika hatua inayonuia kupunguza taharuki na msuguano wa miongo kadhaa na jirani yake huyo.