-
Magaidi wawili raia wa Pakistan wakamatwa nchini Iran
Sep 21, 2016 02:45Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limetangaza habari ya kutiwa mbaroni raia wawili wa Pakistan katika mji wa Saravan wa mkoa wa Sistan va Baluchestan kwenye mpaka wa Iran na Pakistan.
-
Iran yaikosoa Magharibi kwa uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi
Aug 06, 2016 07:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa hatua ya nchi za Magharibi ya kuipaka matope Jamhuri ya Kiislamu kwa hatua yake ya kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya magaidi hapa nchini.
-
Opereseheni ya kukomboa mji wa Falluja inaendelea nchini Iraq
May 29, 2016 03:51Jeshi na vikosi vya wananchi vya Iraq wanaendelea na operesheni yao ya kuukomboa mji wa Falujja kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh tangu siku sita zilizopita.
-
Waliokuwa njiani kwenda kujiunga na al-Shabaab wakamatwa na polisi ya Kenya
May 16, 2016 08:19Polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia wanawazuilia watu watano akiwemo mwanafunzi wa chuo cha walimu, kwa tuhuma za kwenda kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Magaidi kadhaa wa Daesh watibiwa nchini Uturuki
May 15, 2016 03:52Baadhi ya wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh hivi karibuni wamepatiwa matibabu kwa siri katika hospitali moja ya mji wa Gaziantep nchini Uturuki, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syria.
-
Larijani: Kuunga mkono magaidi ni kwa maslahi ya Wazayuni
May 12, 2016 07:20Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amezikosoa baadhi ya nchi katika eneo hili la Mashariki ya Kati kwa kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuungwa mkono ugaidi ni kwa maslahi ya Wazayuni.
-
Kamanda mwandamizi wa Daesh auawa nchini Iraq
May 10, 2016 07:50Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ameuawa katika hujuma ya anga nchini Iraq. Haya yanajiri huku wanajeshi wa Iraq na makundi ya wanamgambo waitifaki wakifanikiwa kukomboa vijiji kadhaa vya mkoa wa Anbar, magharibi mwa nchi hiyo ambavyo vimekuwa vikishikiliwa na magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh.
-
Kenya yasambaratisha mtandao uliotaka kufanya mashambulizi ya biolojia
May 04, 2016 07:53Jeshi la polisi la Kenya limesema kuwa, limefanikiwa kusambaratisha mtandao wa madaktari wenye mfungamano na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) uliokuwa na nia ya kufanya mashambulizi makubwa ya silaha za biolojia nchini humo.
-
Gaidi mwandamizi wa al-Qaeda auawa nchini Syria
Apr 24, 2016 07:29Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Ahrar al-Sham lenye mafungamano na mtandao wa kimataifa wa al-Qaeda ameuawa katika hujuma ya bomu iliyolenga ngome za kundi hilo katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Serikali ya Somalia: Tumekamata wanachama 100 wa al-Shabab
Mar 30, 2016 04:11Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabab wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Somalia.