-
Wanaharakati wa meli ya kuvunja mzingiro wa Ghaza waendelea kushikiliwa na Israel
Jul 31, 2018 03:39Kamati ya Kimataifa ya kuvunja mzingiro wa Ghaza imetangaza kuwa wanaharakati 20 wa kimataifa waliopo katika meli ya "Kurejea" ambayo Ijumaa iliyopita ilielekea Ukanda wa Ghaza kwa lengo la kuondoa mzingiro wa baharini katika eneo hilo wanaendelea kushikiliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Gaza na vita vingine vya majira ya joto kali?
Jul 27, 2018 22:13Harakati za kichokozi za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza ambazo zimekabiliwa na utayarifu mkubwa wa wapiganaji wa Batalioni ya Izzuddin Qassam, zimezidisha uwezekano wa kuanza vita vingine katika eneo hilo la Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi
Jul 26, 2018 02:43Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya angani na nchi kavu ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia katika Ukanda wa Gaza.
-
UN yaitaka Israel isitishe uchokozi wake Ghaza
Jul 22, 2018 03:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameutaka utawala haramu wa Israel usitishe uchokozi wake katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza
Jul 17, 2018 02:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kuzidisha mzingiro katika Ukanda wa Gaza.
-
Umoja wa Mataifa wataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza
Jul 16, 2018 03:11Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati ametoa wito wa kuhitimishwa mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Msemaji wa shirika la UNRWA: Ghaza imekuwa jela kubwa
Jul 15, 2018 09:15Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA) amesema kuwa eneo la Ukanda wa Ghaza limegeuka na kuwa jela kubwa isiyo na uthabiti na kwamba wakazi wa eneo hilo hawana cha kupoteza.
-
Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza
Jul 14, 2018 03:24Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Haaretz: Ni Israel ndiyo iliyoangamiza uchumi wa Ukanda wa Ghaza
Jun 17, 2018 10:32Gazeti la utawala wa Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, Israel ndiyo iliiyoangamiza uchumi wa Ukanda wa Ghaza kutokana na mashambulizi yake ya mara kwa mara kwenye maeneo muhimu ya kiuchumi ya Wapalestina ikiwa ni pamoja na zana za uvuvi za wananchi hao wa Ghaza.
-
Pigo jingine dhidi ya Marekani katika Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina
Jun 14, 2018 23:50Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika fremu ya kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina, limepitisha kwa wingi wa kura azimio la kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kwa utaratibu huo, Marekani, kwa mara nyingine tena, imepata pigo na kugonga mwamba katika jitihada zake za kulaani Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Palestina, Hamas.