• Israel yafuta mpango wa kushambulia Beirut baada ya onyo kali la Iran

    Israel yafuta mpango wa kushambulia Beirut baada ya onyo kali la Iran

    Jun 02, 2026 09:12

    Utawala wa Israel umeachana na mpango wake wa kufanya mashambulizi makali ya ya kijeshi dhidi ya mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Haya yameelezwa siku ya Jumatatu na Rais wa Marekani, Donald Trump, kufuatia onyo kali kutoka kwa Iran kwamba haitavumilia wimbi jipya la uvamizi dhidi ya Beirut, hatua ambayo ingekiuka makubaliano ya kusitisha vita kati ya Iran na Marekani.

  • Hizbullah yatwanga ngome za Israel kwa makombora na droni

    Hizbullah yatwanga ngome za Israel kwa makombora na droni

    Mar 12, 2026 04:45

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa mapema leo ikisema kwamba imeshambulia ngome za utawala haramu wa Israel kaskazini na katikati mwa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).

  • Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon

    Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon

    Mar 06, 2026 04:40

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imewataka walowezi wa vitongoji haramu katika mpaka wa pamoja wa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel kuondoka katika eneo hilo mara moja.

  • Hizbullah: Tulikwamisha askari 75,000 wa Israel kusini mwa Lebanon

    Hizbullah: Tulikwamisha askari 75,000 wa Israel kusini mwa Lebanon

    Jan 25, 2026 03:28

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema wanamapambano wa Muqawama waliwazuia askari 75,000 wa jeshi la adui Mzayuni kusonga mbele kusini mwa Lebanon wakati wa vita vya karibuni zaidi.

  • Hizbullah: Vitisho vya US dhidi ya Kiongozi Muadhamu vitateketeza eneo lote

    Hizbullah: Vitisho vya US dhidi ya Kiongozi Muadhamu vitateketeza eneo lote

    Jan 24, 2026 00:01

    Tawi la Kisiasa la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon limeonya kwamba, vitisho vya maneno vya Marekani dhidi ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei vinaweza kushadidisha mvutano katika eneo la Asia Magharibi.

  • Hizbullah: Iran haijataka chochote kwetu mkabala wa kutusaidia, kutuunga mkono

    Hizbullah: Iran haijataka chochote kwetu mkabala wa kutusaidia, kutuunga mkono

    Jan 04, 2026 07:36

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amepongeza ustadi wa kijeshi wa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuongeza kuwa, Iran haijataka chochote kutoka kwa harakati hiyo ya Muqawama mkabala wa uungaji mkono wake kwake.

  • Mohsein Rezaei: Israel inaharakisha anguko lake kwa kuwauwa makamanda wa Muqawama

    Mohsein Rezaei: Israel inaharakisha anguko lake kwa kuwauwa makamanda wa Muqawama

    Nov 24, 2025 11:53

    Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa mauaji yanayofanywa na utawala wa Israel dhidi ya makamanda wa Muqawama yanaharakisha kuangamia utawala huo.

  • Hizbullah: Mpango wa Trump wa Gaza unalenga 'kuisafisha' Israel

    Hizbullah: Mpango wa Trump wa Gaza unalenga 'kuisafisha' Israel

    Oct 05, 2025 23:07

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amekosoa mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu Gaza, na kuutaja kuwa ni hatua hatari ya kuisafisha Israel kutokana na jinai zake na sehemu ya ajenda ya kujitanua utawala huo ghasibu.

  • Ghalibaf: Hizbullah ipo hai na inaendelea na harakati zake

    Ghalibaf: Hizbullah ipo hai na inaendelea na harakati zake

    Oct 04, 2025 03:50

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesisitiza kuwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ingali "hai na inafanya kazi zake kama kawaida", huku ikiungwa mkono na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Walebanon waandamana Beirut wakipinga kupokoywa silaha Hizbullah

    Walebanon waandamana Beirut wakipinga kupokoywa silaha Hizbullah

    Sep 06, 2025 08:04

    Wafuasi wa Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Lebanon za Hizbullah na makundi mengine ya Muqawama ya nchi hiyo wamefanya maandamano makubwa usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Beirut, wakipinga vikali pendekezo la baraza la mawaziri linaloungwa mkono na Marekani na Israel la kuwapokonya silaha wanamuqawama.