-
Ushiriki wa Wairani katika uchaguzi, jibu kwa misimamo ya uingiliaji kati hasi ya Merekani
Mar 02, 2024 10:11Kushiriki kwa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na Baraza la Wataalamu Wamaomchagua Kiongozi Mkuu, kwa mara nyingine tena, kumezima njama za wapinzani wa Jamhuri ya Kiislamu wakiongozwa na Marekani, za kuwakatisha tamaa wananchi ili wasishiriki katika upigaji kura.
-
Global Firepower: Iran ni nchi ya 14 kwa nguvu za kijeshi duniani
Mar 02, 2024 04:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetajwa kuwa nchi ya 14 duniani kwa nguvu za kijeshi.
-
Kan'ani: Jeraha la Gazah halitafutika katika kumbukumbu za watu huru
Mar 01, 2024 03:48Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, jeraha la Gazah halitafutika katika kumbukumbu za watu huru.
-
Uchaguzi nchini Iran unafanyika leo Ijumaa
Mar 01, 2024 00:17Uchaguzi wa duru ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu unafanyika leo Ijumaa kote nchini ambapo wagombea watawania viti 290 vya Bunge na 88 vya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa nchi.
-
Iran yatuma angani salalaiti ya utafiti ya Pars-1 iliyotengenezwa nchini
Feb 29, 2024 23:31Iran jana Alhamisi ilifanikiwa kurusha angani salalaiti yake ya utafiti iliyotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini.
-
Safari za ndege baina ya Iran na Oman zaongezeka maradufu, biashara yazidi kustawi
Feb 28, 2024 23:33Wakuu wa mashirika ya ndege ya Iran na Oman wamesema kuwa, safari za ndege baina ya nchi hizi mbili ndugu za Kisilamu zimeongezeka maradufu hivi sasa kutoka safari 30 hadi 60 kwa wiki.
-
"Kamishna wa Haki wa UN achukue hatua za kukomesha jinai za Israel Gaza"
Feb 28, 2024 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa achukue hatua madhubuti za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Kukua uchumi wa Iran licha ya kuandamwa na vikwazo
Feb 27, 2024 23:19Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetangaza kuwa, uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umekuwa kwa kiwango ambacho haikutabiriwa
-
Kwesi Pratt: Iran ina mfumo madhubuti wa demokrasia
Feb 27, 2024 07:50Mwandishi mashuhuri wa habari wa Ghana amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina mfumo madhubuti wa demokrasia.
-
Iran yaionya UN: Marekani inashadidisha taharuki katika eneo
Feb 27, 2024 03:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali juhudi za Marekani za kushadidisha hali ya taharuki katika Bahari Nyekundu na Yemen na kuonya kuwa, hatua hizo za kijeshi za Washington hazitakuwa na matokeo mengine isipokuwa kuvuruga jitihada za pamoja za Iran na Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi.