Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • NAM: Mashambulizi ya Israel huko Gaza yanapaswa kulaaniwa

    NAM: Mashambulizi ya Israel huko Gaza yanapaswa kulaaniwa

    Feb 21, 2024 08:06

    Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwa niaba ya Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) kwamba: Kuendelea mashambulizi ya kikatili ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Palestina hususan katika Ukanda wa Ghaza, kunapaswa kulaaniwa.

  • Eslami: Iran ni miongoni mwa nchi 5 zinazoongoza katika sekta ya nyuklia

    Eslami: Iran ni miongoni mwa nchi 5 zinazoongoza katika sekta ya nyuklia

    Feb 21, 2024 08:04

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa nchi hii ni kati ya nchhi tano zinazoongoza duniani katika sekta ya nyuklia licha ya vikwazo vya miaka kadhaa vya Magharibi dhidi ya Tehran.

  • Iran yakadhibisha madai ya US ya kuipa silaha Yemen

    Iran yakadhibisha madai ya US ya kuipa silaha Yemen

    Feb 20, 2024 09:23

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai kwamba inatuma silaha nchini Yemen na kusisitiza kuwa, madai hayo hayana msingi wowote.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amwambia Guterres: Jamii ya kimataifa isiruhusu mauaji ya watu wa Rafah

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amwambia Guterres: Jamii ya kimataifa isiruhusu mauaji ya watu wa Rafah

    Feb 20, 2024 01:04

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akionya kuhusu mauaji ya umati yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wakazi wa Rafah huko Palestina.

  • Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina

    Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina

    Feb 19, 2024 07:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, kuidhinishwa na Baraza la Seneti la Marekani msaada wa dola bilioni 14 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kunaonyesha kuwa Washington inautuza na kuupa bakhshishi utawala huo kwa kuwaua kwa halaiki raia wasio na hatia wa Palestina katika vita visivyo na mlingano vya Gaza.

  • Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah

    Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah

    Feb 16, 2024 04:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kutokana na hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika Ukanda wa Ghazza hususan kwenye mji wa Rafah ambao unakabiliwa na hatari kubwa ya uvamizi unaokaribia kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza duniani katika sekta ya bahari

    Iran ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza duniani katika sekta ya bahari

    Feb 14, 2024 23:00

    Naibu Waziri wa Barabara na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bandari na Bahari la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kila mwaka meli 40,000 hupita katika bandari za Iran na kuongeza kuwa, Iran ni miongoni mwa nchi 10 bora duniani katika sekta ya bahari.

  • Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran awataka Waislamu wote kusimama dhidi ya Israel

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran awataka Waislamu wote kusimama dhidi ya Israel

    Feb 14, 2024 22:58

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholamhossein Mohseni-Ejei, amesema kuwa Uimwengu wote wa Kiislamu unapaswa usimame dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutumia njia zote zilizopo ili kukomesha ushenzi wa utawala huo katika Ukanda wa Gaza ulio chini ya mzingiro.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tuko tayari kufanya mazungumzo ya pamoja ya ulinzi na usalama na Saudi Arabia

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tuko tayari kufanya mazungumzo ya pamoja ya ulinzi na usalama na Saudi Arabia

    Feb 14, 2024 09:18

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran iko tayari kufanya mazungumzo ya pamoja ya ulinzi na usalama na Saudi Arabia.

  • Abdollahian aonana na Haniya, asema Wapalestina hawataburuzwa na maajinabi

    Abdollahian aonana na Haniya, asema Wapalestina hawataburuzwa na maajinabi

    Feb 14, 2024 04:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kuburuzwa na nchi za kigeni na kusisitiza kuwa, hatima ya taifa la Palestina ipo mikononi mwa Wapalestina wenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS