-
Iran yakosoa tuhuma zisizo na maana za Uingereza dhidi ya IRGC
Aug 07, 2023 23:39Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai yasiyo na msingi ya Uingereza dhidi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC).
-
Iran: Chokochoko za NATO ni miongoni mwa sababu kuu za vita vya Ukraine
Aug 07, 2023 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amegusia juhudi za Tehran kuelekea suluhisho la kisiasa la mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa muungano wa kijeshi wa NATO unaoongozwa na Marekani na chokochoko ulizofanya ni miongoni mwa sababu zilizopelekea kuzuka mgogoro huo.
-
Iran yataka kusitishwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina Lebanon
Aug 04, 2023 04:27Msemaji wa Wiziara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatoa mwito wa kukomeshwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Ain Al-Hilweh nchini Lebanon.
-
Viongozi wa Iran na Oman watilia mkazo kupanuliwa mashirikiano baina ya nchi mbili
Aug 01, 2023 10:06Viongozi wa Iran na Oman wamesisitiza na kutilia mkazo nia ziliyonayo Tehran na Muscat ya kuinua kwa kiwango na upeo wa juu zaidi uhusiano wa nchi mbili na kupanua zaidi maelewano baina ya pande mbili.
-
Iran: Israel ikomeshe ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu
Jul 28, 2023 08:40Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusisitiza kuwa, mgogoro wa Palestina unaweza kupatiwa ufumbuzi tu kupitia kuhitimishwa ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Wapalestina unaofanywa na Wazayuni maghasibu.
-
Iran: Mkono wa Israel unaonekana kwenye vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani
Jul 25, 2023 23:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya Magharibi za Sweden na Denmark na kusema kuwa, alama za vidole za utawala haramu wa Israel zinaonekana wazi kwenye vitendo hivyo viovu.
-
Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 24, 2023 08:02Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Iran yuko nchini Afrika Kusini kushiriki mkutano wa ngazi ya juu wa usalama wa nchi kundi la BRICS.
-
Iran: Mkuu wa UN achukue msimamo mkali dhidi ya kuvunjiwa heshima Qurani
Jul 21, 2023 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akimtaka achukue msimamo mkali dhidi ya vitendo vya kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu.
-
Waziri wa Ulinzi: Hakuna anayeweza kuitishia Iran yenye nguvu
Jul 19, 2023 08:09Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu hivi sasa ina nguvu na uwezo mkubwa wa kiulinzi, na kwamba hakuna yeyote anayeweza kulitishia taifa hili.
-
Sisitizo la Russia la kuheshimu umoja wa ardhi yote ya Iran
Jul 16, 2023 04:34Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na mwakilishi maalumu wa rais wa nchi hiyo katika masuala ya Asia Magharibi na Afrika, amesisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran kama nchi rafiki. Bogdanov ameyasema hayo katika mkutano na Kazem Jalali, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow.