-
Amir Abdollahian: Walimwengu wanashuhudia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza
Oct 22, 2023 11:30Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mkutano wake na waandishi wa habari pamoja na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini kwamba: Hii leo dunia inashuhudia jinai zinazofanywa na utawala wa kibaguzi na muuaji wa watoto wachanga dhidi ya watu wa Gaza.
-
Iran na Tunisia zafanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia wananchi wa Ghaza
Oct 19, 2023 02:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Tunisia mjini Jeddah, Saudi Arabia na pande mbili zimejadiliana njia za kuwasaidia wananchi wa Ghaza na kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Kiongozi Muadhamu aonana na Sheikh Zakzaky, asema Palestina ni dhihirisho la nguvu za Uislamu
Oct 14, 2023 10:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kusisitiza kuwa, Palestina na Ghaza ni dhihirisho la nguvu za Uislamu.
-
Mapokezi makubwa ya Sheikh Ibrahim Zakzaky nchini Iran +VIDEO
Oct 12, 2023 10:08Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria alivyolakiwa na umati mkubwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Jinsi Sheikh Zakzaky alivyopokewa Iran+VIDEO
Oct 12, 2023 10:05Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano na kulakiwa umati mkubwa wa wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano
Oct 10, 2023 03:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, karibuni hivi Iran na Sudan zitafungua tena balozi zao baada ya nchi hizo mbili kukamilisha mchakato wa kurejesha uhusiano wa kidipolmasia.
-
Iran yatangaza utayari wa kuimarisha uhusiano wake na Tanzania
Sep 30, 2023 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuimarisha uhusiano na maelewano ya pande mbili kati yake na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Ghalibaf: Nchi za Afrika kwa Iran ni muhimu sana kama ilivyo kundi la BRICS
Sep 28, 2023 11:54Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema katika mazungumzo na wanaharakati na wabunge wa Afrika Kusini kwamba, Tehran inaamini kuwa, umuhimu wa nchi za Afrika hususan Afrika Kusini ni mkuubwa na ni sawa na umuhimu wa kundi la BRICS, kwa Iran.
-
Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia
Sep 23, 2023 00:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.
-
Hilali Nyekundu ya Iran yatuma misaada ya kibinadamu Libya
Sep 17, 2023 01:09Mkuu wa Shirika la Hlilali Nyekundu la Iran (IRCS) amesema jumuiya hiyo imetuma tani 40 za misaada ya dharura nchini Libya, kufuatia maafa makubwa ya roho na mali za watu yaliyosababishwa na mafuriko makubwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.