Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Mapigano kati ya waasi na vikosi vya jeshi huko Walikale Kongo DR

    Mapigano kati ya waasi na vikosi vya jeshi huko Walikale Kongo DR

    Sep 06, 2016 03:16

    Watu wawili wameuawa kwenye mapigano kati ya waasi na vikosi vya jeshi la Kongo katika eneo la Walikale nchini humo.

  • WHO yaonya kuhusu kuenea Kipindupindu kaskazini mwa DRC

    WHO yaonya kuhusu kuenea Kipindupindu kaskazini mwa DRC

    Sep 02, 2016 10:32

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu kuenea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

  • Waasi wa Mai Mai waua raia wawili mashariki mwa Kongo

    Waasi wa Mai Mai waua raia wawili mashariki mwa Kongo

    Aug 29, 2016 23:30

    Watu wawili wameuliwa baada ya watu wenye silaha kukishambulia kijiji kimoja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Sudan Kusini yakosoa kutoroshwa nchini humo  Riek Machar

    Sudan Kusini yakosoa kutoroshwa nchini humo Riek Machar

    Aug 29, 2016 09:46

    Waziri wa Habari wa Sudan Kusini ameeleza kuwa hatua ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kufanikisha kuondoka Juba Riek Machar Makamu wa zamani wa Rais wa Sudan Kusini ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.

  • Makundi mawili ya wanamgambo nchini Kongo DR yaafikiana kurejesha amani

    Makundi mawili ya wanamgambo nchini Kongo DR yaafikiana kurejesha amani

    Aug 28, 2016 03:27

    Makundi mawili ya wanamgambo kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yameahidi kusaidia hatua za kurejesha amani nchini humo.

  • Sudan Kusini yailalamikia Congo DR kwa kushiriki kumtoa Juba Riek Machar

    Sudan Kusini yailalamikia Congo DR kwa kushiriki kumtoa Juba Riek Machar

    Aug 27, 2016 23:56

    Serikali ya Sudan Kusini imeilalamikia rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kile ilichokitaja kuwa kushiriki nchi hiyo kumtoa mjini Juba na kumsafirisha Riek Machar hasimu wa kisiasa wa Rais Salva Kiir.

  • WHO latiwa wasiwasi na kuenea Kipindupindu Kongo DR

    WHO latiwa wasiwasi na kuenea Kipindupindu Kongo DR

    Aug 25, 2016 03:35

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa indhari juu ya kuenea ugonjwa wa kipindupindu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • UN: Polisi ya Kongo DR imewatia mbaroni makumi ya waandamanaji Kinshasa, Kongo DR

    UN: Polisi ya Kongo DR imewatia mbaroni makumi ya waandamanaji Kinshasa, Kongo DR

    Aug 24, 2016 23:49

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya waandamanaji wametiwa mbaroni mjini Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mrengo wa upinzani DRC wakataa mazungumzo na serikali ya Rais Joseph Kabila

    Mrengo wa upinzani DRC wakataa mazungumzo na serikali ya Rais Joseph Kabila

    Aug 21, 2016 10:40

    Muungano wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umekataa kufanya mazungumzo na serikali ya Rais Joseph Kabila kuhusiana na suala la uchaguzi ambao sasa imetangazwa kuwa, utafanyika Julai mwakani badala ya mwezi Novemba mwaka huu.

  • Makumi ya waasi wa ADF wakamatwa mashariki mwa Kongo

    Makumi ya waasi wa ADF wakamatwa mashariki mwa Kongo

    Aug 19, 2016 11:34

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa makumi ya waasi wa Uganda wamekamatwa mashariki mwa Kongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS