-
Wakazi wa Beni watakiwa kushirikiana na jeshi la Kongo
Aug 18, 2016 09:55Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewataka wakazi wa mji wa Beni nchini humo kushirikiana na jeshi katika mapambano dhidi ya makundi yenye silaha.
-
Waasi wa ADF wafanya tena mashambulio mashariki mwa DRC
Aug 18, 2016 02:46Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wameendelea kufanya mashambulio katika maeneo mbalimbali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Save the Children: Homa ya manjano DRC kusambaa duniani kote
Aug 16, 2016 10:57Shirika la kimataifa la Save the Children limeonya kuwa, mripuko wa homa ya manjano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yumkini ukasambaa katika nchi mbali mbali duniani, iwapo Jamii ya Kimataifa itaendelea kupuuza suala la chanjo ya ugonjwa huo.
-
Jumatatu tarehe 12 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe 15 Agosti 2016
Aug 15, 2016 03:00Miaka 56 iliyopita katika siku kama ya leo mwafaka na tarehe 15 mwezi Agosti mwaka 1960 Jamhuri ya Kongo maarufu kwa jina la Kongo Brazaville ilipata uhuru.
-
Mawakili Kongo DR wakosoa kutiwa nguvuni watoto Lubumbashi
Aug 14, 2016 23:51Jumuiya ya Mawakili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekosoa kitendo cha polisi wa nchi hiyo cha kuwatia nguvuni watoto kadhaa katika mji wa Lubumbashi nchini humo.
-
Waasi wa ADF-NALU wa Uganda waua watu 36 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Aug 14, 2016 09:19Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika mji wa Beni ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua makumi ya watu.
-
Kushadidi hatua za wapinzani wa kisiasa Kongo dhidi ya serikali
Aug 13, 2016 22:35Hatua za kupinga serikali za wapinzani wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimepamba moto tangu kurejea nchini mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni kiongozi wa upinzani nchini humo mzee Etienne Tshisekedi.
-
Upinzani wa wanasiasa dhidi ya Rais Joseph Kabila waongezeka DRC
Aug 12, 2016 22:23Hatua za wapinzani wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kupinga kuendelea kusalia madarakani Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo zimeshtadi sambamba na kurejea nyumbani kiongozi wa upinzani mzee Étienne Tshisekedi.
-
Watu 14 wauawa katika mashambulio ya waasi mashariki mwa Kongo DR
Aug 08, 2016 10:13Watu 14 wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na makundi yanayobeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Maelfu ya raia wamekuwa wakimbizi kaskazini mwa Kongo
Aug 07, 2016 22:27Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, raia zaidi ya elfu 20 katika wilaya ya Tshopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kaskazini mwa nchi hiyo wamekuwa wakimbizi.