-
Wagonjwa 24 wa Ebola watoroka kituo cha matibabu Beni, Kongo DR
Dec 27, 2018 23:33Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya wagonjwa 24 walioambukizwa ugonjwa hatari wa Ebola kutoroka kituo cha matibabu mjini Beni, mashariki mwa nchi.
-
Wapinzani kongo DR waendelea kuilalamikia tume ya uchaguzi CENI + Sauti
Dec 27, 2018 23:19Vyama vya upinzani vya Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo vimeendelea kukosoa hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo CENI ya kuakhirisha uchaguzi katika miji mitatu nchini humo. Uchaguzi Mkuu wa Rais na Bunge unatarajiwa kufanyika Jumapili hii DRC, lakini hautofanyika katika miji ya Yumbi, Beni na Butembo hadi tarehe 30 Machi mwakani. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Tume ya uchaguzi Kongo yaakhirisha uchaguzi katika miji mitatu
Dec 26, 2018 11:12Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo imesema kuwa imeakhirisha katika miji mitatu nchini humo uchaguzi wa rais na wa bunge uliopangwa kufanyika Jumapili ya tarehe 30 mwezi huu hadi mwezi ujao wa Machi.
-
Watu 27 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Kongo DR
Dec 25, 2018 11:00Watu wsiopungua 27 wameaga dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.
-
Jamii ya kimataifa yahofishwa na uwezekano wa kutokea machafuko wakati wa uchaguzi DRC + Sauti
Dec 24, 2018 23:59Taasisi muhimu za ndani na nje ya Afrika zimeelezea wasiwasi wao kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na zinafikiria njia za kukabiliana na hatari hiyo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Maporomoko ya udongo yaua watu 5 Bukavu, Kongo DR
Dec 23, 2018 03:56Maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa yamesababisha watu watano kupoteza maisha katika mkoa wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Uchaguzi Mkuu DRC waahirishwa, sasa kufanyika Disemba 30
Dec 21, 2018 13:27Tume ya Uchaguzi ya Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo (CENI) imetangaza kuwa uchaguzi mkuu uliokuwa umepangiwa kufanyika Jumapili Desemba 23 sasa umeahirishwa hadi Jumapili Disemba 30, 2018.
-
Uganda yachukua tahadhari kuhusu Ebola kabla ya uchaguzi DRC
Dec 21, 2018 11:18Uganda imeongeza kiwango cha tahadhari kuhusu ugonjwa wa Ebola, ili kukabiliana na wimbi tarajiwa la wakimbizi iwapo vurugu zitaibuka katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.
-
Kongo yajiandaa kuakhirisha uchaguzi wa Rais wa Jumapili
Dec 21, 2018 04:53Uchaguzi wa Rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huwenda usifanyike Jumapili ijayo kama ilivyokuwa imepangwa, baada ya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo kuwaambia wagombea wa kiti cha urais kwamba haikuweza kuandaa zoezi la upigaji kura kama ilivyoainishwa.
-
Kampeni za uchaguzi wa rais Congo DR zasimamishwa mjini Kinshasa
Dec 19, 2018 11:54Gavana wa jiji la Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesitisha kampeni za uchaguzi rais mjini humo kabla ya zoezi hilo muhimu lililopangwa kufanyika Jumapili ijayo.