-
Hania: Ahadi ya kukombolewa mateka wote wa Palestina itatimia karibuni hivi
Apr 21, 2017 23:14Naibu Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, ahadi ya kukombolewa mateka wote wa Palestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala ghasibu wa Israel itatimia hivi karibuni.
-
Mwanachuoni kipofu wa Misri afia gerezani nchini Marekani
Feb 19, 2017 01:15Sheikh Omar Abdu Rahman, mwanachuoni mashuhuri asiye na uwezo wa kuona mzaliwa wa Misri amefariki dunia akiwa gerezani nchini Marekani.
-
Watatu wauawa, 26 wajeruhiwa katika mapigano ndani ya jela nchini Afrika Kusini
Dec 27, 2016 04:25Watu watatu wameuawa na wengine 26 wamejeruhiwa katika mapigano yaliyotokea kati ya wafungwa na walinzi wa jela ya St. Albans katika bandari ya Elizabeth mkoani Cape ya Mashariki nchini Afrika Kusini.
-
Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa
Nov 23, 2016 04:38Mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa vikali hukumu ya kufungwa miaka miwili jela, iliyotolewa na mahakama moja nchini humo, dhidi ya mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Rais el-Sisi atoa msamaha kwa wafungwa vijana 82 nchini Misri
Nov 18, 2016 11:22Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametoa msamaha kwa wafungwa vijana 82 waliokuwa wakitumikia vifungo vyao jela.
-
Wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa Bahrain waivunjia heshima Qur'ani Tukufu
Nov 18, 2016 10:53Wanajeshi wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, wamekivunjia heshima Kitabu cha Mwenyezi Mungu, kwa kukichanachana.
-
Algeria yahimiza kuachiwa huru raia wake wote walioko jela Guantanamo
Aug 22, 2016 23:38Waziri wa Sheria wa Algeria amesisitiza juu ya udhaura wa kuachiwa huru raia wote wa nchi hiyo waliofungwa katika jela ya Guantanamo nchini Cuba.
-
Wafungwa 15 wa Guantanamo wahamishiwa Imarati
Aug 16, 2016 23:28Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imewahamisha wafungwa 15 wa jela ya kutisha ya Guantanamo na kuwapeleka katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ukiwa ni uhamisho mkubwa zaidi wa wafungwa hao kufanywa na utawala wa Rais Barack Obama wa Marekani.
-
Askari wa AU nchini Somalia wafungwa jela kwa kufanya ulaghai
Aug 16, 2016 23:27Askari tisa wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM wamehukumiwa vifungo jela kwa kuendesha biashara ya ulaghai ya mafuta katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Amnesty yaitaka Israel imuachie huru Mpalestina aliyesusia chakula
Aug 12, 2016 23:20Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutaka utawala haramu wa Israel umuachie huru mfungwa wa Kipalestina Bilal Kayed ambaye amekuwa katika mgomo wa chakula kwa miezi miwili sasa.