-
Rais wa zamani wa Korea Kusini afungwa miaka 24 jela kwa ufisadi
Apr 06, 2018 09:30Mahakama ya Korea Kusini imemhukumu kifungo cha miaka 24 jela, rais wa nchi hiyo aliyeuzuliwa Park Geun-hye, baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi wa kifedha iliyokuwa ikimkabili.
-
Viongozi wa Chadema Tanzania waachiwa huru kwa dhamana
Apr 03, 2018 09:36Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania imewaachia huru kwa dhamana viongozi 6 wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
-
Kiongozi wa upinzani Senegal ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela
Mar 30, 2018 10:30Mahakama moja nchini Senegal imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela Khalifa Sall, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.
-
Kasisi wa Marekani kupandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi
Mar 20, 2018 12:12Kasisi mmoja raia wa Marekani huenda akahukumiwa kifungo cha miaka 35 jela nchini Uturuki iwapo atapatikana na hatia katika tuhuma za ugaidi na ujasusi zinazomkabili.
-
Mahakama Misri yaidhinisha Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo
Mar 04, 2018 04:25Mahakama ya Juu nchini Misri imefutilia mbali maamuzi yaliyotolewa na mahakama za chini za nchi hiyo kuhusu mpango wa kukabidhi visiwa viwili vya kistratajia vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kwa Saudi Arabia.
-
Serikali yavunja chama kikuu cha upinzani Equatorial Guinea
Feb 27, 2018 11:02Mahakama moja ya Equatorial Guinea imevunja chama kikuu cha upinzani nchini humo sambamba na kuwasweka jela makumi ya wanaharakati.
-
UN yaitaka serikali ya Kenya iheshimu uhuru wa vyombo vya habari
Feb 03, 2018 04:05Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kuheshimu agizo la mahakama lililoitaka ibatilishe hatua yake ya kuzifungia televisheni tatu kupeperushaji matangazo baada ya stesheni hizo kurusha moja kwa moja hafla ya kuapishwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Raila Odinga.
-
Mahakama Kuu ya Kenya yaagiza kufunguliwa kwa runinga zilizokatiwa matangazo
Feb 01, 2018 11:10Mahakama Kuu nchini Kenya imesimamisha agizo la serikali ya nchi hiyo la kufunga kwa muda usiojulikana urushaji wa matangazo ya vituo vitatu maarufu vya televisheni nchini humo.
-
Misri yawahukumu maisha jela wanachama wa Ikhwani
Jan 30, 2018 23:52Katika kile kinachoonekana na mwendelezo wa hukumu za kidhalimu dhidi ya wafuasi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri, Mahakama ya Jinai ya Cairo imewahukumu kifungo cha maisha jela wanachama sita wa harakati hiyo.
-
Misri yawanyonga washukiwa wengine wanne wa ugaidi
Jan 02, 2018 10:53Mamlaka ya Magereza ya Misri imetekeleza hukumu ya kuwanyonga watu watano wakiwemo wanne waliopatikana na hatia ya kutekeleza mashambulizi ya bomu yalioua maafisa usalama miaka miwili iliyopita.