Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri: Kuna uwezekano tukashambuliwa tena na magaidi

    Misri: Kuna uwezekano tukashambuliwa tena na magaidi

    May 28, 2017 23:31

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imesema kuwa, kuna uwezekano makundi ya kigaidi yakafanya tena mashambulizi nchini humo, hivyo imevitaka vikosi vya usalama kuchukua hatua kali za kiusalama kukabiliana na jambo hilo.

  • Shambulio la kigaidi nchini Misri

    Shambulio la kigaidi nchini Misri

    May 27, 2017 06:21

    Watu wasiopungua 28 waliuawa nchini Misri na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la jana Ijumaa dhidi ya mabasi mawili yaliyokuwa yamewabeba Wakristo wa Kibti kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Cairo.

  • Ndege za Misri zashambulia maficho ya magaidi nchini Libya

    Ndege za Misri zashambulia maficho ya magaidi nchini Libya

    May 27, 2017 02:12

    Jeshi la Anga la Misri limefanya mashambulizi katika maficho ya magaidi ndani ya ardhi ya Libya baada ya watu wenye silaha kushambulia mabasi mawili yaliyokuwa na Wakristo mkoani al Minya.

  • Watu 28 wauawa katika shambulizi dhidi ya basi lililobeba Wakristo Misri

    Watu 28 wauawa katika shambulizi dhidi ya basi lililobeba Wakristo Misri

    May 26, 2017 09:35

    Kwa akali watu 28 wameuawa katika shambulizi linaloaminika kuwa la kigaidi lililolenga basi ambalo lililikuwa limewabeba Wakrsito wa Kikhufti kusini mwa mji mkuu wa Misri, Cairo.

  • Misri yakanusha kuingilia masuala ya ndani ya Sudan

    Misri yakanusha kuingilia masuala ya ndani ya Sudan

    May 24, 2017 23:57

    Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amekanusha madai kwamba Cairo inaingilia masuala ya ndani ya Sudan.

  • Sudan yaituhumu Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi

    Sudan yaituhumu Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi

    May 24, 2017 03:21

    Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir ameituhumu serikali ya Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi yanayoipiga vita serikali ya Khartoum.

  • Kuendelea kutolewa hukumu za ajabu na idara ya mahakama ya Misri

    Kuendelea kutolewa hukumu za ajabu na idara ya mahakama ya Misri

    May 22, 2017 02:16

    Katika hali ambayo idara ya mahakama ya Misri imemtoa hatiani dikteta Hosni Mubarak, rais wa zamani wa nchi hiyo kwa makosa yote aliyofanya yakiwemo hata mashtaka ya kuua watu wakati wa mapinduzi ya wananchi mwaka 2011, Mahakama Kuu ya Misri imemuweka kwenye orodha ya magaidi Muhammad Morsi, rais wa kwanza wa nchi hiyo aliyechaguliwa na wananchi na baadaye kupinduliwa na jeshi.

  • 9 wauawa katika mapigano kaskazini mwa Misri

    9 wauawa katika mapigano kaskazini mwa Misri

    May 21, 2017 03:05

    Watu tisa wameuawa katika mapigano yaliyotokea jana kwenye Rasi ya Sinai, kaskazini mwa Misri.

  • Kuchukuliwa hatua kali zaidi za usalama Misri; udharura wa kiusalama wenye malengo ya kisiasa

    Kuchukuliwa hatua kali zaidi za usalama Misri; udharura wa kiusalama wenye malengo ya kisiasa

    May 12, 2017 08:40

    Serikali ya Misri imechukua hatua kali zaidi za usalama katika eneo linalozunguka bunge kufuatia kuongezeka vitisho dhidi ya wabunge wa nchi hiyo.

  • Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    May 09, 2017 03:42

    Mahakama ya Misiri imemhukumu kifungo cha maisha jela Mohamed Badie, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya nchi hiyo pamoja na wanachama wengine wawili wa harakati hiyo iliyopigwa marufuku.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS