Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mripuko

  • Milipuko ya kigaidi yaendelea kuitikisa Somalia, wanajeshi watano wauliwa

    Milipuko ya kigaidi yaendelea kuitikisa Somalia, wanajeshi watano wauliwa

    Dec 15, 2016 10:53

    Wanajeshi watano wa Somalia wameuawa katika mlipuko wa bomu la kutegwa garini uliotekelezwa leo karibu na ikulu ya Rais wa Somalia na kujeruhi pia makumi ya watu.

  • Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia

    Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia

    Dec 12, 2016 10:27

    Mlipuko wa kigaidi uliotokea leo katika mji wa bandari wa Kismayo nchini Somalia umeuawa watu wanne.

  • Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Iraq

    Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Iraq

    Oct 16, 2016 11:13

    Watu zaidi ya 30 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililoulenga mkusanyiko wa waombolezaji waliokuwa wakiandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

  • Mlipuko wa bomu waua watatu Blue Sky, Mogadishu

    Mlipuko wa bomu waua watatu Blue Sky, Mogadishu

    Oct 01, 2016 09:46

    Gari lililokuwa limetegwa bomu limeripuka katika mgahawa mmoja mjini Mogadishu huko Somalia na mashahidi wanasema watu wasiopungua watatu wameuawa.

  • Kesi 290 za kipindupindu zaripotiwa Sudan Kusini

    Kesi 290 za kipindupindu zaripotiwa Sudan Kusini

    Jul 26, 2016 22:11

    Wizara ya Afya Sudan Kusini imethibitisha kutokea mripuko wa kipindupindu nchini humo huku kesi karibu 300 za ugonjwa huo zikiripotiwa.

  • Mripuko wa bomu watikisa viungani mwa mji mkuu wa Misri, Cairo

    Mripuko wa bomu watikisa viungani mwa mji mkuu wa Misri, Cairo

    May 26, 2016 03:36

    Idadi kubwa ya watu wanahofiwa kupoteza maisha katika mripuko wa bomu ulioutikisa mji wa Giza, ambao uko karibu na mji mkuu wa Misri, Cairo.

  • Mripuko wa bomu wauawa watu 3 garini DRC

    Mripuko wa bomu wauawa watu 3 garini DRC

    Apr 16, 2016 02:50

    Watu watatu wameuawa katika mripuko wa kile kinachoaminika kuwa bomu la kutegwa garini mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu watatu wauawa katika mripuko Somalia

    Watu watatu wauawa katika mripuko Somalia

    Apr 13, 2016 23:18

    Watu watatu wameuawa na wengine wasiopungua sita kujeruhiwa katika mlipuko ulitokea jana Jumatano katika soko lililokuwa na watu wengi huko Somalia.

  • Mripuko ndani ya msikiti waua watu wawili na kujeruhi 15 nchini Somalia

    Mripuko ndani ya msikiti waua watu wawili na kujeruhi 15 nchini Somalia

    Mar 31, 2016 23:52

    Watu wawili wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa wakati ulipotokea mripuko ndani ya msikiti katika mji wa Beledweyne mkoani Hiiraan katikati mwa Somalia hapo jana.

  • Mlipuko wa Bomu waua watu Bujumbura, Burundi

    Mlipuko wa Bomu waua watu Bujumbura, Burundi

    Feb 22, 2016 13:06

    Mlipuko uliotokea mapema leo mjini Bujumbura umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS