-
Kukivunja kabisa Kibla cha Kwanza cha Waislamu; hatua ya baadaye ya Trump
May 24, 2018 22:47Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, vitendo vya balozi wa Marekani vinaonesha jinsi nchi yake inavyoshirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuyavunjia heshima matukufu ya taifa la Palestina na ya umma mzima wa Kiarabu na wa Kiislamu.
-
HAMAS: Kuvamiwa msikiti wa Al Aqsa na walowezi wa Kizayuni kumefanywa kwa uungaji mkono wa Marekani
May 13, 2018 22:36Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, uvamizi uliofanywa walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa Al Aqsa hapo jana ni namna fulani ya utoaji vitisho unaofanywa na utawala wa Kizayuni kwa uungaji mkono wa Marekani.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Apr 02, 2018 03:12Mamia ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanalindwa na askari wa utawala haramu wa Israel, wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa kwa kupitia lango la al-Maghareba.
-
Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US
Feb 28, 2018 04:28Mhubiri mtajika wa Msikiti wa al-Aqsa, Sheikh Ikrima Sabri ametahadharisha kuhusu azma ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kuitaja hatua hiyo kama ya kichokozi na kichochezi.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza atembelea msikiti akiwa amevaa mtandio kichwani
Feb 19, 2018 12:09Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametembelea msikiti mmoja mjini London akiwa amevaa mtandio kichwani ikiwa ni sehemu ya kushiriki katika kampeni maalumu ya Waislamu wa Uingereza inayoendeshwa chini ya kaulimbiu ya "Tembelea Msikiti Wangu."
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2
Dec 26, 2017 13:16Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.
-
Wapalestina waandamana katika "Ijumaa ya Ghadhabu" dhidi ya Trump
Dec 15, 2017 13:32Raia wa Palestina leo Ijumaa wamefanya maandamano katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu chini ya anwani "Ijumaa ya Hasira" ili kulalamikia na kupinga hatua ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuutangaza mji mtakatifu wa Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Wazayuni waunda kikosi kipya cha polisi ili kuwakandamiza zaidi Waislamu
Nov 02, 2017 00:41Waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa amri ya kuundwa kikosi kingine maalumu kitakachowakandamiza Wapalestina katika Msikiti wa al Aqsa.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Oct 22, 2017 11:02Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu la Kiislamu.
-
Alkhamisi 28 Septemba 2017
Sep 27, 2017 23:38Leo ni Alkhamisi 7 Muharram 1439 Hijria sawa na Septemba 28, 2017.