-
Alkhamisi, 19 Februari, 2026
Feb 18, 2026 23:46Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Februari, 2026.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Feb 18, 2026 02:54Baadhi ya nchi za Waislamu na Kiarabu zimetangaza leo Jumatano kuwa siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Ramadhani, Dhifa ya Mwenyezi Mungu (9)
Mar 17, 2025 02:51Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama mvua laini ya msimu wa kuchipua inayonyeshea jangwa kavu na lenye kiu. Hebu na tuyaloweshe majangwa ya roho zetu kwa mvua hii yenye uhai.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (5)
Mar 13, 2025 03:54Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya tano ya kipindi hiki maalumu tulichokutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhni.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-4
Mar 12, 2025 05:58Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizowazi za uongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge....
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (3)
Mar 12, 2025 05:43Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-2
Mar 11, 2025 06:47Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amewangoza ili mpate kushukuru. (Baqarah:185)
-
Ramadhani; Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (1)
Mar 10, 2025 03:40Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji. Tumo katika siku tukufu za ibada ya funga ya mwezi wa Ramadhani na sote tumealikwa kuwa wageni wa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Mwezi wa Ramadhani Gaza: Wapalestina wataabika kuandaa futari na daku
Mar 04, 2025 08:36Vita haribifu vya utawala ghasibu wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhulumu wa Ukanda wa Gaza vimekuwa na taathira nyingi kwa wakazi wa eneo hilo katika siku za nyuma hususan katika kiipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 01, 2025 00:25Baadhi ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumamosi ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.