-
Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 50 nchini Nigeria
Apr 06, 2021 22:59Makumi ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Milio mikubwa ya risasi yasikika karibu na ofisi ya rais nchini Niger
Mar 31, 2021 03:13Milio mikubwa ya risasi imesikika mapema leo karibu na ofisi ya rais wa Niger katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey, siku mbili kabla ya kuapishwa rais mpya Mohamed Bazoum.
-
Mji wa Maiduguri wasalia bila ya umeme kwa mara nyingine tena baada ya shambulio la Daesh
Mar 29, 2021 00:01Shirika la Taifa la Umeme la Nigeria limetangaza kukatika kwa huduma ya umeme kwa mara nyingine tena katika mji wa Maiduguri makao makuu ya jimbo la Borno huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo baada ya shambulio la kundi la kigaidi la Daesh.
-
Watu 13 wauawa katika shambulio la wabeba silaha nchini Nigeria
Mar 21, 2021 04:25Watu wasiopungua 13 wamepoteza maisha katika mashambulizi ya genge la wabeba silaha katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
-
ISIS yadai kuhusika na shambulio lililoua na kujeruhi makumi Nigeria
Mar 14, 2021 00:10Kundi la kigaidi la ISIS tawi la Afrika Magharibi limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa magari ya kijeshi lililoua na kujeruhi watu zaidi ya 30 huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Wanafunzi karibu 30 watekwanyara kaskazini magharibi mwa Nigeria
Mar 12, 2021 23:05Afisa mmoja wa usalama nchini Nigeria ameripoti kuwa, wanafunzi karibu 30 wametekwanyara katika jimbo la Kaduna huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wafuasi wa Sheikh Zakzaky wawaadhimisha mashahidi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Mar 08, 2021 04:13Wafuasi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) wamefanya hafla ya kuwaenzi mashahidi wa harakati hiyo.
-
Magaidi washambulia tena raia nchini Nigeria, 6 wauawa
Mar 04, 2021 09:50Raia wasiopungua 6 wameuawa katika shambulio jipya la watu wenye silaha katika mji wa Dikwa wa kaskaini mashariki mwa Nigeria
-
Mamia ya wanafunzi waliotekwa nyara Nigeria waachiliwa huru
Mar 02, 2021 04:16Mamia ya wanafunzi wa kike waliotekwa nyara huko Nigeria katika jimbo la Zamfara wameachiliwa huru.
-
Kuongezeka ugaidi Nigeria; mamia ya wanafunzi watekwa nyara
Feb 28, 2021 05:22Mashambulio ya kigaidi yangali yanaendelea katika nchi za magharibi mwa Afrika na hasa nchini Nigeria. Katika mashambulio ya karibuni kabisa, mamia ya wanafunzi wametekwa nyara nchini humo kufuatia shambulio lililofanywa na wabeba silaha katika shule moja katika jimbo la Zamfara, kaskazini mwagharibi mwa nchi hiyo.