-
Watu 25 wauawa kwenye hujuma ya wanamgambo nchini Nigeria
Jun 10, 2019 07:08Watu 25 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na kundi la watu waliokuwa na silaha jimboni Sokoto, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Polisi ya Nigeria yakosolewa kwa kuwashambulia waandamanaji Siku ya Quds
Jun 01, 2019 06:51Polisi ya Nigeria imekosolewa vikali kwa kuwashambuliwa Waislamu na wanaharakati walioshiriki matembezi ya amani ya Siku ya Kimataifa ya Quds jana Ijumaa.
-
Waislamu wazidi kuandamana Nigeria kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
May 29, 2019 06:46Maelfu ya wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja kushinikiza kuachiliwa huru haraka iwezekanavyo, mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Wanajeshi 25 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya magaidi wa Boko Haram
May 26, 2019 03:50Wanajeshi 25 wa Nigeria wameuawa katika hujuma ya kuvizia ambayo imetekelezwa na magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram.
-
Ripoti: Watu milioni 10 Afrika Mashariki wanavuta bangi, Tanzania yaongoza
May 25, 2019 05:54Utafiti mpya umefichua kuwa, takriban watu milioni 10 katika kanda ya Afrika Mashariki wanavuta bangi kinyume cha sheria, huku Tanzania ikishika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo.
-
Jeshi la Nigeria lawafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kuachiwa Sheikh Zakzaky
May 18, 2019 10:08Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya jeshi la Nigeria kuwafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
Watu 80 wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani jimboni Kano, Nigeria
May 17, 2019 02:59Polisi wanaosimamia sheria za Kiislamu (Sharia) katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria wamewatia mbaroni watu 80 kwa tuhuma za kula mchana hadharani, wakati huu wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Nigeria kuogopa mashambulizi ya Boko Haram
May 15, 2019 03:18Maelfu ya wanavijiji wamekimbia makazi yao kaskazini mashariki mwa Nigeria wakikwepa mashambulizi ya kigaidi ya Boko Haram katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanajeshi 11 wa Nigeria wauawa na kundi la kigaidi la Boko Haram
May 12, 2019 08:29Wanajeshi wasiopungua 11 wa Nigeria wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Magaidi wa Daesh wadai wameua askari 11 kaskazini mwa Nigeria
May 12, 2019 02:19Wanajeshi 11 wa serikali wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio la wanamgambo wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).