-
Bomba jingine la kusafirisha mafuta laripuliwa Niger Delta nchini Nigeria
Nov 28, 2016 04:20Waasi wa eneo la kusini mwa Nigeria la Niger Delta wameshambulia kwa kuripua bomba jingine la kusafirisha mafuta katika eneo hilo.
-
Kikao cha kusikiliza kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky chaakhirishwa
Nov 27, 2016 03:51Kikao cha kusikiliza kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kimeakhirishwa na kupangiwa tarehe nyingine.
-
Jeshi la Nigeria lasisitiza kupambana na vitisho vya kundi la kigaidi la Boko Haram
Nov 26, 2016 00:24Kamanda Mkuu wa jeshi la Nigeria amesisitiza juu ya azma ya jeshi la nchi hiyo ya kukabiliana na kundi la kigaidi la Boko Haram ambalo limehatarisha usalama wa nchi hiyo na nchi jirani.
-
Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua wanaharakati 150 wa Biafra
Nov 24, 2016 10:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema wanaharakati wapatao 150 wa vuguvugu linaloshinikiza kujitenga jimbo la Biafra wameuawa na jeshi la Nigeria katika kipindi cha mwaka mmoja.
-
Waislamu wa Kishia Nigeria walaani kubomolewa shule zao
Nov 23, 2016 23:31Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani kitendo kilicho kinyume na sheria cha viongozi wa jimbo la Kaduna nchini humo cha kubomoa shule zao.
-
Jumuiya ya haki za binadamu Nigeria yatoa wito wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Nov 21, 2016 23:16Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiliwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.
-
Malalamiko dhidi ya kuharibiwa majengo ya Harakati ya Kiislamu Nigeria
Nov 21, 2016 03:43Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amelaani vikali hatua ya serikali ya jimbo la Kaduna lililoko katikati mwa nchi hiyo, ya kuharibu na kubomoa majengo ya harakati hiyo.
-
Kuongezeka ukandamizaji wa Waislamu nchini Nigeria
Nov 20, 2016 23:33Wanajeshi wa serikali ya Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria wameendelea kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo kwa kuvunja nyumba na maeneo yanayomilikiwa na Waislamu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Serikali ya Nigeria yabomoa majengo ya harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo
Nov 19, 2016 12:14Serikali ya Nigeria imeendeleza ukandamizaji dhidi ya Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo kwa kubomoa majengo kadhaa ya harakati hiyo.
-
Mazishi ya Waislamu waliouawa kinyama na Jeshi la Nigeria
Nov 17, 2016 23:53Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (INM) imefanya mazishi ya Waislamu waliouawa kinyama hivi karibuni na jeshi la nchi hiyo katika mji wa kaskazini wa Kano.