-
Rais wa Ghana: Upinzani unawashawishi wafuasi wake wasikubali matokeo ya uchaguzi
Dec 07, 2016 00:28Rais John Dramani Mahama wa Ghana amemtuhumu kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo kuwa anawashawishi wafuasi wa chama chake wasikubali matokeo ya uchaguzi wa Rais na Bunge unaofanyika leo nchini humo.
-
Mkulima wa ndizi ashinda uchaguzi wa rais nchini Haiti
Nov 29, 2016 09:46Jovenel Moise, mkulima wa ndizi na mfanyabiashara mashuhuri ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais nchini Haiti.
-
Mke wa Mugabe asema yeye ndiye rais wa Zimbambwe
Nov 22, 2016 04:27Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesema yeye ndiye rais wa nchi hiyo kwa kuwa anatekeleza majukumu yote ya urais pamoja na mumewe.
-
Rais wa Zambia ajipunguzia mshahara kwa asilimia 50
Nov 19, 2016 04:30Rais Edgar Lungu wa Zambia ametangaza kupunguza mshahara wake kwa asilimia 50, ikiwa ni katika hatua ya serikali yake ya kujaribu kubana matumizi.
-
Rais wa Guinea-Bissau amfuta kazi Waziri MKuu na kuvunja tena serikali
Nov 15, 2016 04:38Kwa mara nyingine tena Rais José Mário Vaz wa Guinea-Bissau amemfuta kazi Baciro Dja, Waziri Mkuu wa nchi hiyo na kutangaza kuivunja serikali, ikiwa ni katika juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa uliopo.
-
Rais wa Somalia: Maeneo mengi ya nchi yanakabiliwa na ukame
Nov 14, 2016 00:37Rais Hassan Sheikh Mohamoud wa Somalia ameitaka jamii ya kimataifa kutuma misaada ya dharura katika maeneo yanayokabiliwa na ukame na baa la njaa nchini humo.
-
Trump ashinda uchaguzi wa rais Marekani, masoko ya hisa yaporomoka
Nov 09, 2016 04:46Masoko ya hisa ya dunia na hususan ya Marekani yameporomoka kwa kiasi kikubwa muda mfupi baada ya Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Hizbullah yampongeza Aoun kuchaguliwa kuwa rais mpya Lebanon
Nov 04, 2016 12:19Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amempongeza Michel Aoun kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Lebanon na kusisitiza kuwa, harakati hiyo imekuwa ikilimbikiziwa tuhuma za uongo kuwa imekuwa kizingiti cha kufanyika uchaguzi nchini humo kwa takriban miaka miwili na nusu.
-
Wakfu wa Mandela wamsuta Zuma, wasema ameshindwa na uongozi
Nov 01, 2016 11:14Wakfu wa Mandela umemjia juu Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anayekabiliwa na mashinikizo yanayomtaka ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi zinazomundama na utumiaji mbaya wa mamlaka yake.
-
Erdogan: Tutawanyonga waliohusika na jaribio la mapinduzi
Oct 30, 2016 03:54Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema serikali yake inapania kurejesha adhabu ya kifo kwa ajili ya kuwahukumu waliohusika na jaribio la mapinduzi lililofeli mwezi Julai mwaka huu.