-
Watu 7 wauawa katika shambulio la bomu Sinai, Misri
Jul 25, 2017 14:21Raia 7 wakiwemo watoto wawili wameuawa katika shambulio la bomu la kutegwa garini katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa Misri.
-
Watu 14 wauawa 30 wajeruhiwa kaskazini mwa Cameroon
Jul 13, 2017 14:19Watu 44 wameuawa na kujeruhiwa katika miripuko ya mabomu iliyotokea kaskazini mwa Cameroon.
-
Wazayuni wazidi kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu
Jul 06, 2017 07:42Katika mwezi uliopita wa Juni, utawala wa Kizayuni wa Israel uliyavunjia heshima mara 80 matukufu ya Kiislamu huko Palestina hususan Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu katika mji wa Quds na Haram na Nabii Ibrahim AS katika mji wa al Khalil
-
Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi
Jul 03, 2017 12:55Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.
-
Waasi washambulia maeneo ya jeshi la DRC
Jun 29, 2017 04:13Waasi wanaojiita kwa jina la "Kikosi cha Mapambano ya Wazalendo" wameshambulia maeneo ya jeshi la serikali kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wataka mkuu wa jeshi apandishwe kizimbani Libya kwa kushirikiana na Misri
Jun 01, 2017 14:20Wanaharakati nchini Libya wametaka mkuu wa jeshi la nchi hiyo apandishwe kizimbani kwa madai ya kula njama na Misri na kutoheshimu haki ya kujitawala Libya.
-
Watu 28 wauawa katika shambulizi dhidi ya basi lililobeba Wakristo Misri
May 26, 2017 14:05Kwa akali watu 28 wameuawa katika shambulizi linaloaminika kuwa la kigaidi lililolenga basi ambalo lililikuwa limewabeba Wakrsito wa Kikhufti kusini mwa mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Watu wenye silaha washambulia msafara wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini
May 10, 2017 04:20Watu wenye silaha wameushambulia msafara wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini na kujeruhi walinzi wake watatu ikiwa ni uthibitisho wa wazi kuwa hali ya kiusalama bado ni mbaya nchini humo.
-
Wanajeshi kadhaa wa Nigeria wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Boko Haram
May 01, 2017 13:50Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio katika kambi moja ya jeshi la Nigeria na kuwaua wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo.
-
Waislamu wazidi kunyanyaswa Marekani, msichana avuliwa hijabu hadharani
Apr 20, 2017 02:26Unyanyasaji dhidi ya Waislamu unazidi kuongezeka nchini Marekani tangu Donald Trump, rais mwenye chuki na wageni hususan Waislamu alipoingia madarakani nchini humo. Tukio la karibuni kabisa ni kitendo cha mwanamme mmoja mwenye chuki za kidini aliyemvua hijabu hadharani msichana wa Kiislamu, kaskazini mwa mji wa Atlanta, huko Marekani.