-
Al-shabaab washambulia kambi ya jeshi na kuua askari 10
Jul 11, 2016 03:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeshambulia kwa bomu kambi moja ya jeshi kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuua wanajeshi 10 wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Askari 12 wa Libya wauawa katika hujuma ya bomu Benghazi
Jul 07, 2016 09:36Kwa akali askari 12 wa jeshi la Libya wameuawa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini katika mji wa Benghazi, mashariki mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
80 wauawa katika mashambulizi ya mabomu Baghdad, Iraq
Jul 03, 2016 02:52Watu wasiopungua 80 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
18 waua katika shambulizi la bomu nchini Somalia
Jun 30, 2016 03:46Kwa akali watu 18 wameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la bomu mapema leo katika mji wa Lafole, kusini magharibi mwa Somalia.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Istanbul, Uturuki
Jun 29, 2016 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya uwanja wa ndege mjini Istambul nchini Uturuki, yaliyosababisha vifo vya makumi ya watu na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya kigaidi huko Istanbul Uturuki
Jun 29, 2016 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa Istanbul Uturuki.
-
46 waua na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya msikiti Iraq
Jun 28, 2016 01:58Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja viungani mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Shambulio la kigaidi nchini Somalia
Jun 26, 2016 06:20Shambulio la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab dhidi ya hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kwa mara nyingine tena limepelekea zaidi ya watu 40 kuuawa na kujeruhiwa.
-
Iran yatibua shambulizi la kigaidi dhidi ya Tehran
Jun 20, 2016 02:34Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa shambulizi la kigaidi hapa mjini Tehran na kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa wa njama hizo za kigaidi.
-
5 wahukumiwa maisha jela Uganda kwa mashambulizi ya kigaidi Kampala
May 28, 2016 03:21Mahakama Kuu ya Uganda imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, watu watano miongoni mwa wanane waliopatikana na hatia ya kuhusika katika mashambulizi pacha mjini Kampala, wakati wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010.