Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Maafisa usalama wa Afrika watahadharisha kuhusu hatari ya makundi ya kigaidi

    Maafisa usalama wa Afrika watahadharisha kuhusu hatari ya makundi ya kigaidi

    Apr 06, 2017 10:04

    Maafisa wa upelelezi na vyombo vya usalama wa nchi 30 za Afrika walioshiriki katika mkutano wa amani nchini Sudan wametahadharisha kuhusu vitisho vya makundi ya kigaidi barani humo.

  • Watu wenye silaha wawafyatulia risasi raia wakiwa sokoni nchini Sudan, saba wauawa

    Watu wenye silaha wawafyatulia risasi raia wakiwa sokoni nchini Sudan, saba wauawa

    Apr 03, 2017 00:12

    Watu wenye silaha wasiojulikana wametekeleza shambulizi katika soko nchini Sudan na kuua watu saba na wengine kadhaa kujeruhiwa.

  • Kamisheni ya Haki za Binadamu yaikosoa Jordan kwa kumkaribisha al Bashir

    Kamisheni ya Haki za Binadamu yaikosoa Jordan kwa kumkaribisha al Bashir

    Mar 31, 2017 23:17

    Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeikemea serikali ya Jordan kwa kumkaribisha nchini humo Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Uhusiano wa Saudia na Sudan, hakika au maslahi ya muda?

    Uhusiano wa Saudia na Sudan, hakika au maslahi ya muda?

    Mar 31, 2017 22:02

    Saudi Arabia inafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Sudan yajulikanayo kama 'Ngao ya Samawati -1' huku nchi hizo mbili zikijaribu kuimarisha uhusiano wao kutokana na vizingiti vya ndani ya nchi na kieneo.

  • Sudan yaafiki kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

    Sudan yaafiki kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

    Mar 27, 2017 00:09

    Serikali ya Sudan imeafiki suala la kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu walioathiriwa na ukame na njaa katika nchi jirani ya Sudan Kusini.

  • HRW yataka Rais wa Sudan azuiwe kuingia Jordan au akamatwe

    HRW yataka Rais wa Sudan azuiwe kuingia Jordan au akamatwe

    Mar 26, 2017 22:13

    Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu HRW limetaka Rais Omar al Bashir wa Sudan azuiwe kuingia nchini Jordan.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan yaakhirishwa

    Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan yaakhirishwa

    Mar 15, 2017 13:00

    Ziara ya Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya nchini Sudan imeakhirishwa kutokana na matukio ya kiusalama nchini humo.

  • Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Sudan

    Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Sudan

    Mar 13, 2017 03:28

    Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia Sudan kutokana na matatizo mengi yanayoikabili nchi yao ukiwemo ukame.

  • Afrika Kusini yatakiwa ifike ICC kujieleza kwa kutomkamata rais Bashir wa Sudan

    Afrika Kusini yatakiwa ifike ICC kujieleza kwa kutomkamata rais Bashir wa Sudan

    Mar 08, 2017 12:24

    Afrika Kusini imetakiwa kufika katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC mwezi Aprili kujieleza baada ya kukataa kumkamata Rais Omar al Bashir wa Sudan alipotembelea nchi hiyo miaka miwili iliyopita.

  • AI: Kufanyike uchunguzi wa mashambulizi ya silaha za kemikali Darfur

    AI: Kufanyike uchunguzi wa mashambulizi ya silaha za kemikali Darfur

    Mar 07, 2017 12:11

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali yaliyofanywa na serikali ya Sudan dhidi ya raia katika eneo la Darful lililoko magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS