-
Rais Assad atilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano wa kimkakati kati ya nchi yake na Iran
Jul 23, 2024 03:48Rais wa Syria Bashar Assad ametilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano na kuimarishwa ushirikiano na uratibu baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali.
-
Shambulio la utawala wa Kizayuni huko Damascus, Syria
Jul 14, 2024 02:33Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio la jeshi la Kizayuni huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Msisitizo wa Iran wa kuondoka bila masharti Marekani kutoka Syria
Jun 26, 2024 03:28Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ni jambo la dharura kwa vikosi vya Marekani kuondoka kikamilifu, kwa haraka na bila masharti kutoka Syria na kwamba, hatua hiyo ni muhimu kwa ajili ya amani na utulivu wa nchi hiiyo ya Kiarabu.
-
Saudia yateua balozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya muongo mmoja
May 27, 2024 08:27Saudi Arabia imetangaza kuteua balozi wake mpya nchini Syria ikiwa ni balozi wake wa kwanza baada ya zaidi ya muongo mmoja tangu ilipositisha uhusiano wake na serikali yar ais Bashar al-Assad.
-
Kaimu Rais: Iran itaendelea kuunga mkono kambi ya muqawama
May 23, 2024 07:32Kaimu Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuunga mkono kikamilifu kambi ya muqawama.
-
Russia yatangaza, imeharibu kambi 2 za magaidi nchini Syria
May 06, 2024 07:12Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imeharibu kambi mbili za magaidi wanaosaidiwa na Marekani huko magharibi mwa Syria.
-
Rais wa Syria: Mshikamano wa nchi za Kiarabu unapelekea kupatikana utulivu katika eneo
Apr 28, 2024 23:36Rais wa Syria amesema kuwa kuwepo mshikamamo baina ya nchi za Kiarabu na kutekeleza hatua za pamoja kutapelekea kupatikana amani na uthabiti katika eneo.
-
Gharibabadi: Nchi za Magharibi ziache sera za kinafiki na ubaguzi kuhusiana na ugaidi
Apr 18, 2024 10:05Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Kibinadamu la Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi kwa ujumla zinapaswa kuachana na siasa zao za kindumakuwili na ubaguzi kuhusiana na ugaidi.
-
Jumatano, tarehe 17 Aprili, 2024
Apr 16, 2024 23:17Leo ni Jumatano tarehe 8 Shawwal 1445 Hijria sawa na Aprili 17 mwaka 2024.
-
Abdollahian: Marekani inapasa kuwajibishwa kwa shambulio dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran
Apr 09, 2024 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa serikali ya Marekani ina jukumu na inapasa kubeba dhima kwa shambulio la kigaidi katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus lililofanywa na utawala wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari huko Gaza.