-
Jumanne tarehe 27 Julai 2021
Jul 26, 2021 22:00Leo ni Jumanne tarehe 16 Dhulhija 1442 Hijria sawa na Julai 27 mwaka 2021.
-
Jumapili tarehe 4 Julai 2021
Jul 03, 2021 22:09Leo ni Jumapili tarehe 23 Dhulqaada 1442 Hijria Qamariya inayosadifiana na 13 Tir mwaka 1400 Hijria Shamsiya sawa na Julai 4 mwaka 2021
-
Amir Abdolahian: Uhusiano wa Iran, China na Russia ni wa kiistratijia
Jan 26, 2021 07:40Mshauri Mkuu wa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, uhusiano wa Tehran, Beijing na Moscow ni wa kiistratijia na kuongeza kuwa, uhusiano na nchi za dunia ambazo zilikuwa pamoja na wananchi wa Iran wakati wa hali ngumu umejengeka juu ya msingi na stratijia ya urafiki, ushirikiano na kuheshimiana.
-
Jumapili, Disemba 6, 2020
Dec 05, 2020 21:16Leo ni Jumapili, tarehe 20 Mfunguo Saba Rabiuthani 1442 Hijria inayosadifiana na Disemba 6, 2020 Milaadia
-
Iran yaitaka IAEA iache pasipo na ulazima kueneza taarifa za shughuli zake za nyuklia
Dec 04, 2020 00:08Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna ametilia mkazo ulazima wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuacha, pasipo na ulazima, kueneza taarifa fafanuzi kuhusu shughuli zake za nyuklia.
-
Jumapili, Mosi Novemba, 2020
Oct 31, 2020 23:00Leo ni Jumapili tarehe 15 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1442 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Novemba, 2020 Miladia.
-
Salehi: Wakala wa IAEA unapaswa kufanya kazi zake kwa uhuru
Aug 25, 2020 07:28Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unapaswa kufanya kazi zake kwa uhuru na kusisitiza kuwa Iran haiko tayari kutekeleza masuala ambayo yako nje ya ahadi zake kimataifa.
-
Jumapili, tarehe 7 Juni, 2020
Jun 06, 2020 22:08Leo ni Jumapili tarehe 15 Shawwal 1441 Hijria, sawa na tarehe 7 Juni 2020 Miladia.
-
Jumatano tarehe 4 Machi 2020
Mar 03, 2020 23:18Leo ni Jumatano tarehe 9 Rajab 1441 Hijria saw ana tarehe 4 Machi mwaka 2020.
-
Iran na Ukraine zasisitizia kutoingizwa siasa katika suala la kuanguka ndege ya Ukraine
Feb 11, 2020 04:29Katibu Mkuu wa Baraza la Uslama wa Taifa la Iran na Katibu Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Ukraine, kwa pamoja wamesisitiza kutoingizwa siasa katika faili la kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine nchini hapa.