• Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (166)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (166)

    May 24, 2017 18:30

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mnayoisikiliza kutoka mjini Tehran. Kipindi ni kipindi cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho hujibu maswali mbalimbali yanayohusiana na itikadi ya Kiislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (161)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (161)

    Apr 26, 2017 07:18

    Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 161 ya mfululizo wa vipindi hivi vya itikadi ya Kiislamu ambapo leo tutakamilisha swali lililoulizwa na msikilizaji wetu Bwana Faisal Badr wa Lamu Kenya ambaye alitaka kujua maana ya neno ‘imam’ katika aya ya  Quráni inayosema: ‘’Siku tutakapowaita kila kikundi cha watu kwa Imam wao.’’

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (157)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (157)

    Apr 10, 2017 12:53

    Ndugu wasikilizaji ni nini kinachotofautisha kati a elimu ya Watu wa Nyumba ya Mtume (as) na elimu ya watu wengine ambao wamenakili elimu ya Mtume huyo Mtukufu (saw)? Hili ni swali ambalo limeulizwa na msikilizaji wetu Said Ahmad wa Tanga Tanzaia ambapo tunakuombeni muwe pamoja nasi ili tupate kulitafutia jibu kutoka kwenye maandiko matakatifu, karibuni.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (156)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (156)

    Apr 04, 2017 08:12

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 156 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo ni vipindi vinavyojadili masuala mbalimbali ya itikadi ya Kiislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (155)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (155)

    Apr 04, 2017 08:08

    Assalaam Aleikum Wapensi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Kama mnavyokumbuka ni kuwa bado tunaendelea kujibu swali tulilouliza katika vipindi 11 vilivyopita ambalo linahusiana na majukumu pamoja na nyadhifa walizonazo Waislamu kwa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad (saw).

  • Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain (153)

    Maswali yetu na Majibu ya Thaqalain (153)

    Mar 12, 2017 16:42

    Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Kama tulivyokuahidini katika kipindi kilichopita, kipindi che leo kitakamilisha jibu kuhusu wajibu au haki ya tisa waliyonayo Maimamu wa Ahlul Beit (as) kwa Umma wa Kiislamu. Hiyo ni haki ya ubaba wa kimaanawi kwa Umma.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (152)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (152)

    Feb 21, 2017 08:41

    Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kujinga nasi katika sehemu hii ya 152 katika mfululizo wa vipindi hivi vya itikadi ya Kiislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (151)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (151)

    Feb 21, 2017 08:35

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 151 katika mfululizo wa vipindi hivi vya itikadi ya Kiislamu vinavyokujieni chini ya anwani ya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (150)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (150)

    Feb 18, 2017 11:04

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (147)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (147)

    Feb 14, 2017 12:14

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi cha juma hili cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambacho kinakujieni moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran.