Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Rais wa Ghana atoa wito wa kuweko vita vya kweli dhidi ya ugaidi

    Rais wa Ghana atoa wito wa kuweko vita vya kweli dhidi ya ugaidi

    Oct 31, 2016 11:18

    Rais wa Ghana amesisitiza juu ya kuchukuliwa hatua za maana na zenye mipango madhubuti kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi wa kimataifa.

  • Watu 10 wauawa kaskazini mwa Misri

    Watu 10 wauawa kaskazini mwa Misri

    Oct 30, 2016 12:07

    Watu 10 wameuawa katika mapigano baina ya jeshi la Misri na watu wenye silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • Al-Shabaab yafanya tena ukatili Kenya, yaua 12 Mandera

    Al-Shabaab yafanya tena ukatili Kenya, yaua 12 Mandera

    Oct 25, 2016 04:10

    Watu 12 wameuawa na wengine wengi kuachwa na majeraha ya risasi baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia hoteli moja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa nchi, usiku wa jana.

  • Magaidi washambulia chuo cha polisi na kuua 55 nchini Pakistan

    Magaidi washambulia chuo cha polisi na kuua 55 nchini Pakistan

    Oct 25, 2016 01:08

    Makumi ya makurutu wameuawa baada ya genge la kigaidi kushambulia chuo cha kutoa mafunzo ya polisi kusini magharibi mwa Pakistan.

  • Larijani: Marekani inachochea ugaidi kupitia vita

    Larijani: Marekani inachochea ugaidi kupitia vita

    Oct 18, 2016 03:31

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema Marekani inachochea ugaidi katika eneo hili la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla kwa kutumia anga ya vita na mapigano.

  • Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani

    Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani

    Oct 08, 2016 02:50

    Marekani imekuwa ikifanya njama mbalimbali za kukwamisha jitihada za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi ya Kiarabu ya Syria, suala ambalo limewafanya maafisa wa Umoja wa Mataifa washindwe kuvumilia na kuamua kuilalamikia Marekani kwa njama zake hizo.

  • Iran yazitahadharisha nchi zinazotumia ugaidi kujinufaisha

    Iran yazitahadharisha nchi zinazotumia ugaidi kujinufaisha

    Oct 05, 2016 11:21

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezitahadharisha nchi zinazotumia ugaidi kufikia malengo na maslahi yao ya kibinafsi.

  • Iran: Ugaidi umezuia kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu

    Iran: Ugaidi umezuia kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu

    Oct 04, 2016 04:43

    Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema ugaidi na misimamo mikali ya kufurutu ada vimekuwa kizingiti kikuu katika kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs.

  • Saudia inaunga mkono wahalifu mashariki mwa Iran

    Saudia inaunga mkono wahalifu mashariki mwa Iran

    Sep 30, 2016 03:39

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran Abdul Ridha Rahman Fadhli amesema Saudi Arabia inaunga mkono wahalifu katika eneo la mashariki mwa nchi.

  • Russia: Kauli ya Marekani ni dhihirisho kuwa inaunga mkono ugaidi

    Russia: Kauli ya Marekani ni dhihirisho kuwa inaunga mkono ugaidi

    Sep 29, 2016 10:50

    Serikali ya Moscow imesema matamshi ya hivi karibuni ya Marekani kuwa magaidi wa Daesh wanaofanya mashambulizi dhidi ya Syria yumkini wakaanza kuishambulia miji ya Russia ni ithibati tosha kuwa Washington inaunga mkono ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS